Kisa Nico, Bilbao yaifanyia vibaya Barca KATIKA harakati za kuhakikisha staa wao Nico Williams anabaki, ripoti zinaeleza Athletic Club inatarajia kuiripoti Barcelona kwa La Liga na kutaka wafanyiwe ukaguzi rasmi wa kifedha kwani...
Ronaldo kupewa miwili huko STAA wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo anatarajiwa kusaini mkataba mpya na Al Nassr ya Saudi Arabia ambao utamwezesha kusalia kwenye timu hiyo hadi mwaka 2027, licha ya tetesi zilizodai...
Mo Salah, Bruno wagombea tuzo MOHAMED Salah na Alexis Mac Allister wapo kwenye mchakamchaka wa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Kulipwa huko England baada ya kuwa na msimu bora - lakini mashabiki wa Liverpool...
Hebu msikieni kocha Arne Slot KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema timu hiyo inaweza kupewa nafasi kubwa ya kubeba taji la Ligi Kuu England msimu huu, lakini hilo si kwa sababu ya pesa ambazo wametumia kusajili kwenye...
Matumizi ya pesa yamridhisha Slot KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema kuwa pesa nyingi zinazomwagwa na timu hiyo katika dirisha hili ni lazima zitumike ili wasiachwe nyuma.
Gyokeres, Havertz wampa mzuka Arteta KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta anaamini Viktor Gyokeres na Kai Havertz wanaweza kucheza pamoja baada ya wote kufunga mabao kwenye ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wao...
Isak bado ni pasua kichwa STRAIKA, Alexander Isak ameripotiwa kushikilia mpango wake wa kutaka kuachana na maisha ya St James’s Park licha ya kuzungumza na mabosi wakubwa wa Newcastle United.
Madrid yataka saini ya Mainoo REAL Madrid imeripotiwa kuingia kwenye mbio za kunasa huduma ya kiungo anayetaka kuachana na Manchester United, Kobbie Mainoo.
Kumbe kipa Grimsby imemuuma sana KIPA wa Grimsby Town, Christy Pym amewashangaza mashabiki kwa namna alivyokuwa akishangilia baada ya kuitupa nje Manchester United kwenye Kombe la Ligi, lakini kumbe jambo hilo limemuuma sana.
Viktor Gyokeres apewa maua yake STAA wa zamani wa Sporting CP, Cristiano Ronaldo anauhakika straika mwingine wa zamani wa Sporting, Viktor Gyokeres atafanya balaa kwa sababu hana shaka juu ya kiwango chake.