Marioo: Kisa Mtoto nimetengana na marafiki MIONGONI mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya walioliteka anga la Bongofleva kwasasa mmojawapo ni Marioo. Mkali huyu ambaye jina lake halisi ni Omari Mwanga, ameutawala muziki vizuri na anatamba...
AKILI ZA KIJIWENI: Mastraika wazawa moto uwe huo huo NAFURAHISHWA na kazi ya kufumania nyavu ambayo inafanywa na washambuliaji wazawa wanaozichezea timu mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hatua 5 zingezuia utata dili la Kagoma KIUNGO mkabaji, mzawa Yusuf Kagoma amekuwa maarufu kwa siku za hivi karibuni baada ya jina lake kuhusishwa kwenye utata wa usajili akitokea klabu ya Fountain Gate.
Yanga kuna kitu kinapikwa USHINDI wa bao 1-0, ilioupata Yanga juzi dhidi ya KenGold katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, umeifanya timu hiyo kuendeleza rekodi bora ya kutopoteza mashindano...
Kisa bao 1-0, Gamondi airudisha Yanga Dar usiku USHINDI wa bao 1-0 ambao haukufurahisha mashabiki wa Yanga, umemfanya kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi kuamua kuirudisha timu Dar es Salaam usiku kwa nia ya kuweka mipango mipya kwa mchezo...
PRIME Utamu upo kati Azam vs Simba Ni pambano lenye mvuto na msisimko wa aina yake kutokana na ushindani uliopo baina ya timu hizo tangu Azam ipande Ligi Kuu mwaka 2008. Kuanzia saa 2:30 usiku pale New Amaan Complex, moto utawaka.
Heri Sasii kuiamua 'Mzizima Dabi' MWAMUZI wa kati, Hery Sasii ndiye atakayesimamia mchezo wa kuvutia na kusisimua wa Ligi Kuu Bara wa 'Mzizima Dabi' kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya Simba utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa New...
Mtasingwa kikwazo kwa Mkolombia Azam FC KIUNGO mkabaji wa Azam FC Mcolombia, Ever Meza amesema yupo sehemu sahihi ndani ya kikosi hicho, licha ya changamoto ya namba kutokana na uwepo wa Adolf Mtasingwa akimtaja kuwa ndiye anampa...
EDGAR: Mashine ya mabao, tumaini la Fountain EDGAR William ni miongoni mwa maingizo mapya kwenye kikosi cha Fountain Gate msimu huu na tangu msimu huu umeanza tayari ameonyesha ni mshambuliaji hatari kwa kufumania nyavu za wapinzani jambo...
Bajana aongeza mzuka Azam FC Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao Azam FC ilishinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania na kumfanya kukosekana kwa muda mrefu kikosini humo.