PRIME Sasa kunachangamka! Mzize dau limepanda YANGA inashuka uwanjani jioni ya leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kukabiliana na MC Alger ya Algeria katika mechi ya mwisho ya Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku...
Banda ataja kilichompeleka Dodoma Jiji WAKATI usajili wa Abdi Banda kutoka Sauzi kutimkia Dodoma Jiji ukiendelea kuwa gumzo, beki huyo mzawa ameeleza sababu za kurejea nyumbani.
Dili la Mpole lafia njiani, sasa aibukia huku! DILI la mshambuliaji aliyekuwa Pamba Jiji, George Mpole la kutimikia Singida Black Stars, limefia njiani mara baada ya Kagera Sugar kuizidi kete na kumbeba juu kwa juu mfungaji bora huyo wa Ligi...
Mwenda afunguka kilichotaka kumuondoa Simba STORI kubwa iliyozunguka maisha ya beki wa kulia, Israel Mwenda, katika klabu yae ya zamani ya Simba, ni uhusiano wake na mmiliki wa nafasi anayoicheza katika kikosi cha kwanza cha Wekundu wa...
Tabora yabeba straika kutoka Tajikistan DIRISHA dogo la usajili lilifungwa jana usiku, huku mapema juzi Tabora United ilikamilisha dili la kumsajili mshambuliaji mzawa Emmanuel Mwanengo aliyekuwa akiichezea Vakhsh Bokhtar iliyopo...
Lawi aziingiza vitani Simba, Yanga WAKATI dirisha la usajili likitarajiwa kufungwa usiku wa leo inaelezwa kuna vita kubwa kati ya vigogo vya Simba na Yanga vikipigana vikumbo kuwania saini ya beki Lameck Lawi.
Singida Black Stars yafuata mido Burkina Faso SINGIDA Black Stars imetua kambi ya timu ya Taifa ya Burkina Faso ikipambana kuipata saini ya Clement Pitroipa mwenye uwezo wa kucheza kiungo mshambuliaji na ukabaji.
PRIME Fadlu apanga mkakati mzito Kwa Mkapa KOCHA wa Simba SC, Fadlu Davids ameweka wazi timu yake inajivunia kufuzu robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini amesisitiza bado wanakusudia kufanya jambo wakiwa Kwa Mkapa.
Simba ya Fadlu yamkosha Azim Dewji SIMBA imerudi nchini ikiwa na tiketi yake mkononi ya kucheza robo fainali ya sita kwenye mashindano ya Caf na kwenye msafara wa timu hiyo alikuwemo mfadhili wao wa zamani, Azim Dewji, ambaye...
PRIME Ramovic abuni mbinu za kuimaliza MC Alger Kwa Mkapa YANGA imekamilisha kazi ya kwanza ugenini kwa kuichapa Al Hila bao 1-0 juzi Jumapili, kazi ya pili iliyobaki ni kuichapa MC Alger Jumamosi ya wiki hii pale Benjamin Mkapa, kisha kufuzu robo...