Zoran: Kwa mziki huu, mmeumia KIKOSI cha Simba kimetua jananchini Misri na wachezaji wakafanya mazoezi kwa awamu ya kwanza wakiwa katika ardhi hiyo kama maandalizi ya msimu ujao, huku kocha wa timu hiyo, Zoran Maki...
Simba mguu pande, Okra MCHANA wa juzi Simba ilimtambulisha kiungo mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah kama vile ambavyo Mwanaspoti lilikuwa la kwanza kukueleza kila kitu, huku mastaa wake wengine wakikaa mguu sawa kwa...
Kiungo Mnigeria atishia Simba KIRAKA Nasoro Kapama wa Kagera Sugar alitambulishwa jana mchana Msimbazi. Imeisha hiyo. Hadi dirisha kubwa la usajili wa Ligi Kuu Bara linafungwa Agosti 31, Simba itakuwa imesajili mashine nane...
Sasa ni zamu ya Luis Simba MABOSI wa Simba wanaendelea kusainisha nyota wapya na sasa wamehamishia nguvu zao kwa winga wao wa zamani, Luis Miquissone aliyepo Al Ahly ya Misri. Simba ilimuuza Luis Al Ahly mwishoni mwa...
Simba yanasa fowadi Mnigeria KABLA ya usajili haujakamilika Simba itatikisa anga kwa kushusha mashine mbili za maana ambazo ni funga kazi. Mmoja ni beki na mwingine ni straika.
Zoran avunja ukimya Simba KOCHA mpya wa Simba, Zoran Manojlovic Maki amevunja ukimya kwa kuzungumza na Mwanaspoti, huku akifichua jinsi alivyouchungulia mziki wa timu hiyo mapema na usajili unaoendelea kikosini akiamini...
Kwa Phiri wala hakuna kulala MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Moses Phiri amesema yupo kwao Zambia kwa mapumziko lakini hajalala kwa vile kila siku amekuwa na awamu moja ya kupiga tizi binafsi ili kujiweka fiti kabla ya kuja...
Mjue Mugalu ana ofa nne mezani kwake MSHAMBULIAJI wa Simba, Chriss Mugalu ameondoka nchini na kwenda kwao DR Congo huku akiwa hafahamu hatma yake ya msimu ujao kutokana na mvutano unaoendelea ndani kwa mabosi wake. Hata hivyo...
Simba: Tulieni vifaa vinakuja, Try Again atoa siri MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema baada ya kupoteza makombe yote msimu huu sasa wanajipanga na msimu ujao kikosi chao kitakuwa bora zaidi kulingana na...
Sopu aanika siri ya hat-trick yake MABAO matatu 'hat-trick' aliyofunga Abdul Suleiman ‘Sopu’ katika fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga juzi, yamemfanya mshambuliaji huyo wa Coastal Union kuwa kitovu cha vita ya mabosi...