JICHO LA MWEWE: Yanga iende robo fainali au igeuke kichekesho
MBWANA Samatta, Rainford Kalaba, Stopilla Sunzu, Robert Kidiaba, Tresor Mputu, Andrew Sinkala, kama wangekuwa katika jezi ya TP Mazembe kwa sasa huenda Yanga wangekuwa katika kundi gumu la...