Ligi ya Championship imenoga UHONDO wa Ligi ya Championship unaendelea kushika kasi ambapo baada ya jana kupigwa michezo mitatu, kesho itapigwa mingine mitatu kwenye viwanja mbalimbali, ili kuzisaka pointi tatu muhimu za...
Yanga Oktoba freshi, balaa limeanzia huku YANGA imeuanza Novemba na mguu mbaya baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo tena ikiwa nyumbani, ikianza kwa kuchapwa 1-0 na Azam kabkla ya juzi kufumuliwa na Tabora United kwa mabao 3-1.
Zuchu anavyopita njia za Mondi kimtindo MWIMBAJI wa Bongofleva, Zuchu ambaye ni msanii wa pili wa kike ndani ya WCB Wasafi baada ya Queen Darleen, amekuwa na mafanikio makubwa katika kipindi kifupi ukilinganisha na wasanii wengi...
Unajua Rayvanny ni mjanja mjanja sana! STAA wa Bongo Fleva kutoka Next Level Music (NLM), Rayvanny ameshinda Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2023 katika kipengele cha Wimbo Bora wa Singeli ikiwa ni matokeo ya ujanja ujanja wake...
NIONAVYO: Ghafla tu tumekinai udhamini Maskini akipata, makalio hulia mbwata. Kipato huleta majivuno. Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Misemo hii, labda na mingine hujaribu kueleza jinsi mabadiliko ya kiuchumi au ustawi wa mtu...
Wiki mbili zinamtosha Minziro KOCHA Mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’, amesema baada ya timu hiyo kupata ushindi wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa mabao 3-1, dhidi ya Fountain Gate Novemba 5, kwa sasa kikosi hicho...
Ditram Nchimbi ajipa muda Biashara United MSHAMBULIAJI wa Biashara United, Ditram Nchimbi amesema bado ni mapema kuikatia tamaa timu hiyo kwenye mbio za kupanda Ligi Kuu Bara huku akijipa muda katika kufunga mabao na kutwaa kiatu cha...
Pazi aanika siri za makipa Bara ACHANA na ushindi wa kwanza wa Pamba Jiji walioupata jana ugenini, Kipa wa Fountain Gate, Fikirini Bakari anakuwa miongoni mwa makipa watano Ligi Kuu kufanya makosa ya kuzigharimu timu zao.
PRIME Yanga bila Job, Bacca itakuwaje? Tabora yapiga mkwara YANGA kwa mara ya kwanza msimu huu, inashuka uwanjani katika Ligi Kuu Bara bila ya mabeki wawili wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca, itakapoikabili Tabora United yenye kocha mpya aliyewahi...
Kuna swali! Ahoua hashikiki, Simba kileleni KUNA maswali? Ndivyo mashabiki wa Simba walivyokuwa wakihoji kwa furaha kwenye Uwanja wa KMC, wakati timu hiyo ikiikandika KMC kwa mabao 4-0 na kupanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara...