Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24563 results for tanzania :

  1. TBF yalamba Sh194 milioni BetPawa

    KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya BetPawa imetangaza udhamini wa Sh194.8 milioni kwa ajili ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) inayoendeshwa na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania...

  2. Ndumbaro kuongoza mastaa 200 gofu Arusha

    Dar es Salaam. Zaidi ya wachezaji gofu 200 kutoka nchi mbalimbali za Afrika watashiriki katika mashindano ya Tanzania Open yaliyopangwa kuanza Novemba 21 mpaka 24 kwentye uwanja wa Kili...

  3. SPOTI DOKTA: Yanga, Man city hapa pametoboka

    HAPA nyumbani katika Ligi Kuu Bara mambo yamekuwa ndivyo sivyo upande wa mabingwa watetezi, Yanga baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo katika hali ambayo haikutarajiwa kutokana na ubora wa...

  4. MEKHLOUFI: Shujaa wa soka na vita vya ukombozi Algeria

    ALIZALIWA katika mji mdogo wa Setif, Algeria, mwaka 1936, katika familia yenye uwezo na maisha mazuri.

  5.  Stars kuifuata Ethiopia kimkakati

    TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajia kuondoka leo nchini kwa ajili ya mchezo wa tano wa kusaka tiketi ya kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025...

  6. PRIME Kwanini Moallin Yanga! KMC watoa tamko

    YANGA wapo katika kipindi cha kujiimarisha ili kurudi kwenye mstari baada ya kushuhudia michezo miwili iliyopita ikipoteza mfululizo nyumbani. Kabla ya hapo, timu hiyo haikuwahi kupoteza...

  7. DUNIA: Kiungo aliyemtingisha mwamuzi ishu ya Mutale

    NOVEMBA Mosi liliibuka tukio ambalo liliwashangaza mashabiki wengi kati ya kiungo wa Mashujaa FC, Yusuph Dunia na mwamuzi Omar Mdoe ambaye alionekana akimuonyesha ubabe mchezaji huyo.

    Dunia Pict
  8. Yanga wapo sawa kuhamia KMC

    Wakati Yanga ikitangaza kuhamia KMC Complex kutoka Azam Complex, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa tamko. Awali wakati Yanga ikitangaza kuhama uwanja, Bodi ya Ligi ilibainisha imepokea...

    KMC Pict
  9. Azam yawapoteza Simba, Yanga

    NDANI ya michezo mitano iliyopita ya Ligi Kuu Bara, Azam FC imeonekana kuwa kwenye kiwango bora zaidi mbele ya wakongwe Simba na Yanga kwa kukusanya pointi nyingi (13).

  10. Wanne wajitosa Urais TOC, yumo Mtaka

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wagombea wanne waliojitosa kuwania urais kwenye uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).

Previous

Page 184 of 2457

Next