Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

476 results for Ibrahim Mussa :

  1. Yanga ilitema 12 kupata unbeaten

    KATIKA kujenga kikosi bora Yanga kinachowapa matokeo ya sasa, haikufikia mafanikio hayo kwa usiku mmoja tu. Yanga ilifanya mabadiliko makubwa ikiondoa kundi la wachezaji 12 na kuingiza wapya 26...

  2. DONDOO: Yanga yarejea kileleni ikiichapa Kagera Sugar

    BAADA ya kuishangaza Afrika katikati ya wiki hii kwa kuingo'a Club Africain ya Tunisia nyumbani kwao na kutinga kibabe hatua ya makundi ya Shirikisho, Yanga imeendeleza moto huo kwenye Ligi Kuu...

  3. Nabi apumzisha wanne, aifungia kazi Kagera Sugar

    Kocha wa Yanga, Nasredinne Nabi amewapumzisha mastaa wanne walioanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika walioshinda kwa bao 1-0 ugenini dhidi ya Club Africain ya Tunisia.

  4. Aje yeyote tu! Yanga kukutana na hawa makundi CAF

    KIKOSI cha Yanga baada ya kutua nchini, wachezaji na viongozi wao wakitembea kwa kuvimba baada ya ushindi na kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika na wamesema kwamba “sasa tuna...

  5. Aziz KI aanzia benchi na Watunisia

    Salum akirudishwa kucheza namba yake 10. Kwenye kikosi kinachoanza ni Djigui Diarra, Kibwana Shomari, Joyce Lomalisa, Dickson Job, Yannick Bangala, Khalid Aucho, Salum Abubakar 'Sure Boy'

  6. Yanga yajikita kileleni, yaichapa Geita Gold Kirumba

    , Haritier Makambo, Feisal Salum na Bernad Morrison nafasi zao zikizibwa na Yanick Bangala, Tuisila Kisinda, Fiston Mayele, Aziz Ki na Jesus Moloko. Fiston Mayele nusura aipatie Yanga bao la pili...

  7. BM aanza, Mayele asubiri Yanga ikiivaa Geita

    ya kifamilia, Dickson Ambundo (siyo sehemu ya mchezo wa leo), Yanick Bangala, Gael Bigirimana, Tuisila Kisinda na Aziz Ki ambao wanaanzia benchi. Nafasi za mastaa hao zimechukuliwa na  Kibwana...

  8. Yanga yarejea kileleni Ligi Kuu

    kucheza sambamba na Ibrahim Bacca. Wakati huo huo Aziz Ki ambaye alianza kama mshambuliaji wa pili alienda kucheza winga ya kulia aliyokuwa anacheza Kisinda ma eneo la ushambuliaji alienda...

  9. Makambo akabidhiwa KMC

    Farid Mussa. Job aliwahi kucheza eneo la beki wa kulia katika mechi kadhaa msimu uliopita sambamba na Farid Mussa katika eneo la beki wa kushoto na bado wakatanya vizuri. Kitendo cha...

  10. Kisinda aanza Kariakoo Dabi

    alisaidiana na Stephan Aziz Ki. Benchi kuna Abutwalib Mshery, Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Gael Bigirimana, Zawadi Mauya, Farid Mussa, Dickson Ambundo, Denis Nkane na Herietie...

Previous

Page 19 of 48

Next