Arsene Wenger aitabiria ubingwa Arsenal Aliyekuwa Kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, amesema msimu huu 2025-2026 anaona tofauti kubwa kwenye kikosi cha klabu hiyo kinachoongozwa na kocha Mikel Arteta, na huenda mambo yakawanyookea kwa...
Kwa hili la bosi wa Nottingham Forest, usijaribu kabisa 'SHANGILIA lakini usiniguse', Ndivyo inavyoweza kusemwa ukiwa karibu na Mwenyekiti wa Nottingham Forest, Evangelos Marinakis kutokana na wiki ngumu ambayo amekuwa akipitia inayosababisha na...
Kane awabwaga tena Ronaldo, Messi STRAIKA wa Bayern Munich, Harry Kane ameweka rekodi mpya usiku wa Jumatano baada ya kufunga bao lake la 20 la msimu akiwa amecheza mechi 12 pekee jambo ambalo hata Cristino Ronaldo na Lionel...
Ligi Kuu Bara, Championship kurejea Novemba 8 Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni, huku wadau mbalimbali wakichekelea.
Napoli yashindwa kufunga tena ikitoka suluhu na Frankfurt NAPOLI imeshindwa kufunga kwa mara ya pili mfululizo baada ya mabingwa hao wa Italia kulazimishwa matokeo ya suluhu nyumbani dhidi ya Eintracht Frankfurt kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa...
Barcelona yamchukiza Henry, amkosoa Hansi Flick Nyota wa zamani wa Barcelona, Thierry Henry, amemkosoa kocha wa sasa wa klabu hiyo, Hansi Flick, baada ya kikosi chake kulazimisha sare ya mabao 3–3 dhidi ya Club Brugge katika Ligi ya Mabingwa...
Rais Real Madrid atoa uamuzi wa mwisho mustakabali wa Vinícius Jr Klabu ya Real Madrid imeweka wazi msimamo wake kuhusu hatma ya kiungo mshambuliaji kutoka Brazil, Vinícius Jr.
Nuno atemwa rasmi Nottingham Forest Kocha Nuno Espirito Santo amefutwa kazi kwenye kikosi cha Nottingham Forest.
Kumbe Onana alitaka aongezwe mshahara KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekasirishwa na Andre Onana baada ya kuwasilisha maombi ya kutaka mkataba mpya wakati aliporejea kwenye pre-season.