Mashabiki wa Ronaldo wavamia harusi WATU takribani 2,000 walijazana nje ya Kanisa Kuu la Funchal, Madeira, wakiamini kuwa nyota wa soka Cristiano Ronaldo alikuwa akifunga ndoa na mchumba wake Georgina Rodríguez, lakini wakajikuta...
Messi apata pigo kifo cha Baba yake BUENOS AIRES, ARGENTINA: JORGE Messi, baba mzazi na mtu aliyekuwa nguzo muhimu katika maisha na safari ya soka ya Lionel Messi, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68.
Arsenal yamnyakua Guimaraes ARSENAL imekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Brazil, Bruno Guimaraes, kutoka Newcastle United kwa ada ya Pauni 75 milioni, sawa na zaidi ya Sh250 bilioni za Tanzania.
KISIWA CHA MAUTI - 13 “Ngoja nipige simu niulizie. Kama unaniletea utani nitakuweka ndani sasa hivi!”
Yanga Day ya mfano KILELE cha tamasha la Yanga Day ni leo Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na hitimisho lake ni mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya Yanga dhidi ya Les Aigles Du Congo.
Matukio yanayosubiriwa hafla ya Simba Day Uwanja wa Uhuru umebakiza hatua chache kujaa kutokana na mashabiki wengi kuendelea kuingia tayari kwa kushuhudia kilele cha Simba Day.
Nyota England ashtakiwa kwa kupiga mtu MCHEZAJI wa timu ya taifa ya England na Al-Ahli ya Saudia Arabia, Ivan Toney, amefunguliwa mashtaka ya kushambulia mtu kufuatia tukio lililotokea katika klabu ya starehe eneo la Soho, London...
Messi avunja ukimya ishu ya mwanawe Barca MJADALA wowote unaohusu familia ya Lionel Messi na Barcelona huvuta hisia kubwa, na wiki hii macho yalielekezwa kwa mtoto wake mkubwa, Thiago Messi.
Trent Alexander-Arnold anaweza kurudi Livepool LIVERPOOL inapambana kuimarisha kikosi katika dirisha hili la usajili, na ripoti kutoka England zinaonyesha kwamba klabu hiyo “inamhitaji” Trent Alexander-Arnold aliyetimkia Real Madrid msimu...
Sababu kifo cha staa NBA SABABU ya kifo cha mchezaji wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), Brandon Clarke, mwenye umri wa miaka 29, imefahamika baada ya mtaalamu wa uchunguzi wa vifo kusema alifariki dunia kutokana na...