Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

345 results for Mwandishi Maalumu :

  1. PRIME MTU WA MPIRA: Robertinho aamue kusuka ama kunyoa

    SIMBA imefanya usajili mkubwa kwa ajili ya msimu huu wa mashindano. Imeshusha vifaa vya maana kwelikweli. Imewashusha Che Fondoh Marlone, Leandre Onana, Luis Miquissone, Aubin Kramo na wengineo.

  2. PRIME PUMZI YA MOTO: Azam usingizi wa kibongo, ndoto za kizungu

    zaidi kuliko kina Mbappe? Wamewakumbuka hadi wachezaji wa mpira wa kikapu kama Steph Curry, lakini hawajamkumbuka Aggrey Morris. Tena kwa Aggrey Morris kuna jambo jingine muhimu. Ni mchezaji wao...

  3. Che Malone mtu haswa...

    kuonyesha kuwa angalau mguuni kuna kitu. Abdalah Hamis na Hussein Kazi hawa ni wazawa wanahitaji muda wa kucheza ili waweze kuzungumzwa. MWANDISHI WA MAKALA HII MAALUMU NI JOSEPH...

  4. MTU WA MPIRA: Ajibu amepiga hatua moja mbele, kumi nyuma

    IBRAHIM Ajibu. Kipaji kikubwa cha soka katika zama hizi. Fundi haswa. Ukimtazama anakufanya uone soka ni kazi rahisi sana. Wakati anachipukia pale Simba watu walimtabiria makubwa. Alitazamiwa...

  5. PRIME Taifa kubwa, Simba unyama mwingi

    . Tamasha la safari hii ni la 15 tangu lilipoanzishwa mwaka 2009 chini ya uongozi wa Hassan Dalali ‘Field Marshal’ na Katibu Mkuu, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda’ na wenzao ambao baadhi yao...

  6. MTU WA MPIRA: Hata Simba wangemuuza Mayele timu kubwa

    KUMEKUWA na kelele nyingi mitandaoni juu ya kuondoka kwa mkali wa mabao pale Yanga, Fiston Mayele. Na rasmi ametambulishwa katika kikosi cha Pyramid FC ya Misri. Wala sijashtuka maana nilitarajia...

  7. PRIME PUMZI YA MOTO: Yanga ilicheza ngoma ya Simba, ikadodesha Wiki ya Mwananchi

    SIKU ya Mwananchi, tamasha kubwa la Yanga kumtambulisha wachezaji wao, limefanyika tena kwa mara ya tano lakini safari hii likiwa na muitikio mdogo sana. Hii ni tofauti na matamasha Yao yote...

  8. PRIME MTU WA MPIRA: Kwa Miquissone, hata Yanga wanatetemeka

    KWA mujibu wa vyanzo vyangu vya uhakika tayari Simba imemalizana na Luis Jose Miquissone. Nyota huyo raia wa Msumbiji atatangazwa Msimbazi muda wowote kuanzia sasa. Ni yule aliyewahi...

  9. PRIME Dabo kuleta Double Impact Azam FC

    . IMPACT Dabo amegundua kwamba tatizo namba moja la Azam ni nidhamu. Taarifa za ndani ya klabu zinasema kocha huyo amebadilisha kila kitu kuanzia mpangilio wa ukaaji wakati wa kula pale Canteen...

  10. PRIME Abdul Writer: ‘Kombolela’, ‘Mama Kimbo’ Akili nyingi ya uandishi

    “Niliitwa na mkuu wa Idara, Dk Chacha, wakati huo taarifa zimeanza kusambaa kuwa nimeandika barua ya kuacha chuo, nilianza kuacha kuingia darasani, wengi walishangaa naacha boom (mkopo) na kila...

Previous

Page 16 of 35

Next