Wakongo walivyoteka shoo Bara muda anapishana na David Brayson na winga Farid Mussa ambaye naye amekuwa hana nafasi mara kwa mara. HENOCK INONGA (SIMBA) Ukiachana na Simba kutotwaa taji lolote msimu huu ila hutoacha...
Watumishi hewa msimu 2022/ 23 Yanga, Simba KLABU inaposajili mchezaji inakuwa na malengo ya kufaidika na huduma yake, bahati mbaya wengi wao wanashindwa kutimiza kusudi wakikabiliwa na changamoto kama majeraha na kukosa ushindani dhidi ya...
Ibrahim Abraham, kinda anayekuja kwa kasi Ligi Kuu DUNIA imeshuhudia wachezaji kama akina Diego Maradona alivyokuwa akiabudiwa Argentina pamoja na vurugu zake zote lakini kisa ni kimoja tu, guu lake la kushoto lilitosha kuifanya Dunia imtambue kuwa...
Dakika za jioooni, mabao yao yalivyoleta shangwe Ligi Kuu uliofanyika Januari 20 mwaka huu kumalizika kwa sare ya bao 1-1. PRISONS 1-2 IHEFU- RAPHAEL DAUD Wakati wengi wakiamini mchezo huu utamalizika kwa sare, lakini Daud alibadili matokeo dakika ya 90...
Yanga yatinga fainali CAFCC kibabe , Bakari Mwamnyeto, na Ibrahim Hamad ‘Bacca’. Viungo ni Yanick Bangala, Kharid Aucho/Stephane Aziz Kii, na Mudathir Yahya huku mawinga wakiwa Tuisila Kisinda/Jesus Moloko, na Farid...
Kocha Stars atua kambini Yanga kuwatazama wachezaji Watanzania walio katika klabu ya Yanga. Amrouche atakuwa uwanjani wakati wa mechi na mbali ya kutazama mchezo, atakuwa akifanya tathimini ya wachezaji watanzania kwaajili ya...
23 Yanga waiwinda Marumo Diarra, Eric Johora, Metacha Mnata, Djuma Shaban, Shomari Kibwana, Joyce Lomalisa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, na Yanick Bangala. Wengine ni Zawadi Mauya, Mamadou Doumbia,...
Mastaa hawa wafungue mlango KAZI wanayo. Hawa ni baadhi ya mastaa wa Yanga wanaokosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi hicho cha Yanga huku washindani wao wa namba hawana mchezo wawapo uwanjani, kutokana na ubora wao mkubwa...
HISIA ZANGU: ‘Half time’ Mwamnyeto, Mayele mbili Rivers sifuri zimeshinda mechi sita ugenini. Dhidi Nyassa Big Bullets, Primera Agosto, Club Africain, Vipers, TP Mazembe na sasa Rivers. Kila ushindi ulikuwa muhimu lakini huu ulikuwa muhimu zaidi kwa sababu...
Wachezaji 46 waitwa timu ya taifa, Bunda, Bilo zang'ara timu hizo mbili zimepanda daraja kwenda Ligi Kuu. Hata hivyo, kinara wa mabao wa Ligi hiyo, Bahati Steven aliyefunga matano hajajumuishwa kwenye kikosi hicho cha mchujo ambacho kitaanza kambi Mei...