Barcelona majanga, yapigwa tena JANA Jumamosi, imevunjwa rekodi ya muda mrefu ya Atletico Madrid kutopata ushindi katika dimba la Wanda MetroPolitano kwa miaka kumi dhidi ya Barcelona baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0...
Rais wa TFF, Karia aongoza makumi kumzika Mwanahabari Asha Muhaji Mbali na viongozi hao wa TFF, pia kulikuwa na uwakilishi wa klabu mbalimbali za soka ikiwemo Simba ambayo marehemu aliitumikia.
Friends of Simba wamchangia kocha Kisaka KUNDI la Friends of Simba juzi Jumamosi walikwenda Hospitali ya Burhan kumjulia hali aliyekuwa kipa na kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka na kumpa Sh 2.5 Milioni.
Redds Miss Tabata kupatikana leo MALKIA la Redds Miss Tabata 2012 atapatikana leo wakati warembo 19 watakapopanda jukwaani kwenye ukumbi wa Da’ West Park, Tabata.
Facebook yamponza Flora Mbasha MTANDAO maarufu wa kijamii wa Facebook umemponza msanii mahiri wa muziki wa injili nchini Tanzania, Flora Mbasha, baada ya mtu asiyefahamika ambaye ni shabiki wake kugandisha picha chafu ya ngono...
Bandari, Congo aibu tupu! BANDARI na Congo zimeumbuka kwenye Ligi Kuu ya Kenya wikiendi iliyopita na kila moja imetoa utetezi wake ambao mashabiki wameusikia wakatikisa vichwa. Bandari ilifungwa mabao 1-0 na Mathare huku...
Basata yasitisha matamasha na burudani kwa siku 14 Dar es Salaam. Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) limetangaza kusitisha matamasha na burudani kwa siku 14 kutokana na msiba wa aliyekuw Rais wa Tanzania, John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17...
Saa 72 za maombolezo ya Maradona yaanza WAKATI mastaa mbalimbali duniani wakiomboleza kifo cha gwiji wa soka nchini Argentina, Diego Maradona, serikali ya nchi hiyo imetangaza siku tatu ya maombolezo ya fundi huyo wa mpira aliyefariki...
Niyonzima apata ajali Rwanda MWANASPOTI limejiridhisha kwamba kiungo fundi wa Yanga na nahodha wa Rwanda, Haruna Niyonzima amenusurika kwenye ajali ya gari alilokuwa akiendesha wakiwa akirejea kutoka Wilayani Bugesera kuja...
Arsenal wakichangamka wanambeba Hakim Ziyech ARSENAL wamepata matumaini mapya ya kumnasa staa wa Ajax, Hakim Ziyech baada ya winga huyo mwenyewe kuwa tayari kwenda kukipiga Emirates.