MAONI: Waamuzi Ligi Kuu jiangalieni HIVI karibuni gazeti hili lilichapisha makala takriban mara nne mfululizo katika matoleo yake za mahojiano maalumu na mwamuzi wa kwanza mwanamke hapa nchini, Elizabeth Kalinga ambaye pamoja...
MTU WA MPIRA: Nani kasema Kapombe, Tshabalala wamezeeka? HII nchi imejaa mambo ya ajabu mengi. Kila mtu ni mjuaji sana. Kuna watu wanajua siasa, burudani, soka, mambo ya kijamii na kila kitu. Watu wa ajabu sana. Ndio Tanzania. Miaka ya nyuma kuna watu...
Mbio za Saifee kusaidia Wanawake JANA jijini Dar es Salaam zilifanyika mbio maalumu kwaajili ya kuchangia matibabu ya saratani ya matiti kwa wanawake. Mbio hizo zilizoandaliwa na Hospital ya Saifee, ziligawanywa kwa...
PRIME PUMZI YA MOTO: Bajana, Dabo watibuana Azam FC Kiungo nyota wa timu yaa Azam FC, Sospeter Bajana amejikuta katika wakati mgumu kwenye kikosi hicho baada ya kukwaruzana na kocha wake, Yousouph Dabo. Bajana ambaye alitarajiwa kuwa nahodha...
PRIME MTU WA MPIRA: Waamuzi wanakosea makusudi au hawajui? LIGI Kuu Bara ni namba tano kwa ubora Afrika nzima. Ni heshima kubwa sana. Ni historia kubwa kwa nyakati hizi. Haijalishi nani alitoa takwimu hizi, ila ukweli ni kwamba kwa sasa Ligi ya Tanzania...
PUMZI YA MOTO: Waamuzi wanalea madhambi Ligi Kuu MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba na Coastal Union, jioni ya Septemba 21, ulishuhudia mchezaji wa zamani wa Simba, Haji Ugando, akimfanyia madhambi makubwa beki wa Simba, Henock Inonga.
PRIME MTU WA MPIRA: Tunachojidanganya wabongo kuhusu kwenda kucheza Ulaya MASHABIKI wa soka wa Bongo wanapenda uongo na ndio sababu tunatumia muda mwingi kudanganyana. Ndio maana ni rahisi kusikia wakisema Taifa Stars imefuzu fainali za Afcon 2023 kwa sababu imeachiwa...
PRIME MTU WA MPIRA: GSM wananikumbusha jeuri ya Yussuf Manji NYAKATI zinakuja na nyakati zinakwenda. Ndio maisha ya mwanadamu. Hakuna nyakati zitakazodumu milele. Ni kama zilivyokuwa nyakati za Wema Sepetu katika ulimbwende nchini. Kuna nyakati kila...
PRIME PUMZI YA MOTO: Nauona msimu huu ukikumbwa na mgogoro ratiba Ligi Kuu Msimu wa 2023/24 wa Ligi Kuu Bara ulianza Agosti 15 na hadi mwezi huo unaisha, mizunguko miwili tayari imechezwa. Pia mwezi huu kunaweza kuwa na mzunguko miwili tu na Oktoba kukawa na mizunguko...
PRIME MTU WA MPIRA: Tusimchukulie poa Aishi Manula ZAMA zinakuja na kupita. Kila nyakati zina ubora na ubaya wake, lakini ni vyema tukakumbuka mema zaidi. Ni kama zama za makipa nchini zinavyokuja na kupita. Tangu miaka hiyo Tanzania imekuwa...