KYOMBO: Nilisaini Singida, nikaitamani Simba...kutua Yanga iko hivi HABIBU Haji Kyombo ni miongoni mwa usajili ambao uligusa wapenzi wengi wa soka nchini kutokana na utambulisho wake kwenye klabu ya Singida Big Stars.
Mtunisia awapa uhakika Simba KOCHA wa viungo Simba, Mtunisia Sbai Karim amesema wachezaji wa timu hiyo watakuwa wanaongezeka ubora, ufiti na utimamu wa miili kadri ambavyo mashindano yatazidi kuchanganya na hataki...
Zoran afichua ishu ya Bocco Kocha Zoran alisema Bocco ambaye ni mchezaji wa zamani wa Azam, tayari alikuwepo katika mazoezi ya jana na ameanza kuwa fiti.
Mpole: Tatizo nakamiwa sana MFUNGAJI Bora msimu uliopita, George Mpole aliyemaliza Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 17, amesema ameshindwa kufunga kwenye mechi mbili mfululizo za awali za ligi hiyo kutokana na kukamiwa sana na...
Akpan apindua meza Simba MABOSI wa Simba walipanga kabla ya dirisha la usajili kufungwa Agosti 31, kushusha kiungo mmoja mkabaji ili kuchukua nafasi ya Victor Akpan ambaye Kocha Zoran Maki alimkataa tangu timu ikiwa...
Msimu huu kumeanza na moto! MZUNGUKO wa kwanza Ligi Kuu Bara umekamilika na kushuhudia rekodi mbalimbali zilizokwekwa tofauti na msimu uliopita miongoni mwa rekodi hizo msimu uliopita mzunguko wa kwanza ulikamilika kwa...
Simba akili mingi, waja na mikakati mizito, kwenda Sudan leo SIMBA wamerejea mazoezini jana lakini wamecheza akili mingi ili kuganda kileleni mwa msimamo wa ligi na kukanyaga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kikosi hicho kitaondoka nchini leo...
Simba, Mnigeria mpya patamu SIMBA wanaendelea kimyakimya na mchakato wa kumsainisha kiungo mkabaji wa Kwara United FC ya Nigeria,Afeez Nosiru na muda wowote wiki ijayo watafanya sapraizi.
Simba wote kambini haraka, kumkosa Kanoute WACHEZAJI wa Simba walipewa mapumziko ya siku tatu na watarejea mazoezini leo Jumatano kwa wale ambao hawapo kwenye kambi ya timu ya Taifa.
Dejan: Nitafunga sana, atambia bao la kideoni WALE waliokuwa wakimponda Dejan Georgijevic, straika mpya wa Simba kutoka Serbia ghafla wamepata ubaridi baada ya jamaa kutupia bao tamu la kideoni na kusahau kila kitu juu yake, sasa mwenyewe...