MZEE WA UPUPU: Badru anahukumiwa na kitu kimoja, kufanya kazi Azam
KOCHA wa timu ya vijana chini ya miaka 17 ya Azam FC, Mohamed Badru, ameiongoza timu yake kushinda ubingwa wa ligi kuu kwa staili ya hali ya juu sana. Katika mechi 12 za msimu mzima, timu ya...