PRIME Utata wa Chama, Simba uko hivi Simba iko Kigoma kukiwasha na Mashujaa na badae itakwenda kwa Tabora United,lakini ishu ya kiungo wao Clatous Chama aliyesimamishwa bado ina utata na hayupo kwenye msafara.
Aucho ndani, Gamondi akiwaacha watatu Dar Yanga ipo njiani ikienda Bukoba kuifuata Kagera Sugar, lakini msafara wake umewaacha nyuma mastaa watatu, huku Khalid Aucho akirejea kikosini.
Okrah: Tulieni muone kazi Yanga inaendelea kujifua kambini Avic Town Kigamboni ikijiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho (ASFC) zitakazopigwa mwezi ujao mara baada ya fainali za...
Yanga ya sasa makocha wahofia mtu kupigwa nyingi , lakini akiwa na majembe kama Kibwana Shomary na pengine Dickson Job ambaye hutumika pia kwenye nafasi hizo, huku upande wa kushoto kuna Joyce Lomalisa mwenye namba yake, wakati Nickson Kibabage...
Usajili ulivyofungwa kibabe bongo (Simba), Laurent Alfred (Kagera Sugar). WALIOTOKA Ladaki Chasambi (Simba). MASHUJAA FC WALIOINGIA Nyenyezi Juma (Inter Star), Emmanuel Mtumbuka (Stand United), Balama...
Lolote litatokea Simba, Yanga ). Waliotoka George Sangija, Tariq Simba (TZ Prisons). MTIBWA SUGAR Walioingia Justin Ndikumana (Coastal Union), Charles Ilanfya, Rashid Juma (Ihefu), Nassoro Kapama, Jimmyson Mwanuke (Simba)...
Karabaka kubadili upepo Simba? Simba wenye asili ya Zanzibar kuanzia miaka hiyo ingawa sio wote walitoka moja kwa moja kwenye timu za Zanzibar, ni aliyewahi kuwa nahodha Nassor Masoud ‘Chollo’, Awadh Juma na Abdulhalim Humoud...
PRIME Gamondi: Tatizo Yanga lipo hapa kutoka Singida amekuwa akicheza chini ya Gamondi tofauti na Kibwana. Mabeki wa kati wameendelea kutumika Ibrahim Bacca, Dickson Job na Bakar Mwamnyeto, huku Gift Fred akiibua mijadala...
Walitoka Mapinduzi wakaula Ligi Kuu Bara mshambuliaji kutoka JKU, Shekhan Ibrahim Khamis amefungua njia baada ya kumwaga wino kwenye kikosi cha Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu. Kupitia Kombe la Mapinduzi lililoanzishwa mwaka...
Hawa hapa watakaokinukisha Mapinduzi Cup 2024 dakika 90. Msimu huu wanarudi upya kushiriki mashindano hayo wakiwa na kikosi chao bora ambacho kimeweza kuongoza ligi kwa pointi 38 ligi kuu bara wakiongozwa na mastaa wake Fiston Mayele ambaye...