Jeraha alilopata Neymar hili hapa MSHAMBULIAJI wa PSG ya Ufaransa, Mbrazil Neymar alipata majeraha mabaya ya kifundo cha mguu Jumapili katika mchezo wa ligi dhidi ya Saint Etienne.
SPOTI DOKTA: Sababu za Yacouba kuwa nje miezi mitano MSHAMBULIAJI wa Yanga, Yacouba Songne ambaye alirejea wiki iliyopita akitokea nchini Tunisia katika matibabu ya upasuaji wa goti lililojeruhiwa atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitano.
SPOTI DOKTA: Hii ndio siri ya ulaji protini kwa wanamichezo WIKI iliyopita ligi mbalimbali zilisimana kupisha michezo ya kimataifa ya kuwania tiketi za kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia hapo mwakani itakayofanyika nchini Qatar.
Sababu kifo cha bondia Zimbambwe miguuni na mwili kukosa uratibu. Matukio kama hili la bondia kupoteza maisha kutokana na mchezo huo sio mengi, lakini ipo haja ya kuchunguza tukio na majibu kupatikana ili kuchukua hatua mathubuti...
SPOTI DOKTA: Haya ndio madhara ya vitasa kwa mabondia ikiwamo huzuni kali. Tafiti mojawapo iliyowahi kuchapishwa na jarida la Science Daily uliofanywa na Chuo Kikuu cha Munich cha Ujerumani na Dk Hans Forstl ulionyesha kuwa asilimia 20 ya...
SPOTI DOKTA: Mdamu ana nafasi kubwa kurejea tena uwanjani hiyo inashusha kinga ya mwili ambayo ni muhimu kipindi cha uponaji. Uimara wa mifupa ni muhimu kwa mwanamichezo, hivyo muhimu kushikamana na mambo haya ni kuzingatia ushauri wa daktari na mtaalamu...
Ligi zimeanza Ulaya, Tutarajie majeraha haya ZILE Ligi Kuu Bora za Ulaya zinazopendwa duniani ikiwamo ya England (EPL), Hispania (La Liga), Ujerumani (Bundesliga), Ufaransa (Ligue-1) na Italia (Series A) zilianza kutimua vumbi mwishoni mwa...
Majeraha ya misuli ya paja yatawala UEFA EURO FAINALI za Mataifa ya Ulaya (UEFA Euro) 2020 zimezidi kunoga baada ya kushuhudiwa nchi maarufu katika soka zikitolewa katika hatua ya 16-Bora ikiwamo nchi ya Ufaransa na Ureno ambazo zimeshindwa...
Sababu za Real Madrid kumrudisha mtaalam huyu KATIKA mechi ya mwisho ya kumalizia Ligi Kuu Hispania maarufu kama La Liga, ilishuhudiwa Barcelona ikicheza Jumamosi dhidi ya Eibar bila kuwepo kwa mchezaji wake tegemeo, Lionel Messi.
Bila Shin Guard haya yangewapata wanasoka! UGOKO ni moja ya eneo la mwili wa mwanasoka linalokumbana na majanga ya kujeruhiwa kutokana na sehemu hiyo ya mbele chini ya goti kuwa katika hatari ya kugongwa kirahsi wakati wa mchezo.