Arsenal kufanya mabadiliko makubwa ARSENAL wametajwa kuwa na mpango wa kufanya maboresho makubwa katika kikosi chao kwa kusajili wachezaji wanne katika dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi mwaka huu.
Guardiola alilia michuano ya UEFA KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amesema mafanikio makubwa kwa kikosi chake kwa msimu huu ni kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Kompany, Kane waandika historia, Bayern ikitwaa ubingwa Bundesliga Bayern Munich wametangazwa kuwa Mabingwa wa Bundesliga msimu huu baada ya Bayern Leverkusen ambao walikuwa mabingwa watetezi kushindwa kupata matokeo mazuri dhidi ya Freiburg katika mchezo...
KMC yamfuta kazi Ongala, mwenendo mbovu wa timu watajwa Timu ya KMC ya Kinondoni, Dar es Salaam imeamua kuachana na kocha wake, Kally Ongala kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
Liverpool yamtaka Kevin De Bruyne KIUNGO mchezeshaji wa Manchester City, Kevin De Bruyne amepata ofa ya kushtukiza ya kubaki kwenye Ligi Kuu England baada ya Liverpool kuhitaji huduma yake akakipige huko Anfield, imeelezwa.
Antony hashikiki huko Real Betis GWIJI wa Hispania, Joaquin amepanga "kumteka" Antony ili kumzuia winga huyo kurudi Manchester United.
Klopp aitaka Real Madrid, Ujerumani RAFIKI wa karibu wa Jurgen Klopp, Miroslav Tanjga amedai kocha huyo anataka kuifundisha Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani kabla ya kustaafu.
Wakala wa Gyokeres kutua London WAKALA wa mshambuliaji wa Sporting Lisbon, Victor Gyokeres anatarajiwa kutua London, mwezi ujao kufanya mazungumzo na baadhi ya timu zinazohitaji huduma ya mchezaji wake.
Chelsea yapewa uwanja London MKURUGENZI wa shirikisho la mchezo wa Rugby England, Bill Sweeney, yupo tayari kuwaruhusu Chelsea kutumia Uwanja wa Twickenham wakati wanaufanyia maboresho uwanja wao wa Stamford Bridge.
Palace yaichapa Man City, yabeba Kombe la FA CRYSTAL Palace imebeba taji la Kombe la FA baada ya kuichapa Manchester City bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika Wembley.