Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

345 results for Mwandishi Maalumu :

  1. Wajumbe 19 wa hamasa timu ya Taifa wateuliwa, Mwijaku na Hersi ndani

    Tanzania imefuzu kushiriki Fainali za Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON nchini Ivory Coast, michuano hii inaanza Januari 13- Februari 11, 2024. Pia, Tanzania 'Twiga Stars' imefuzu...

  2. PUMZI YA MOTO: Eric Cantona kipaji cha soka safi na domo chafu

    NYOTA wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Eric Cantona, amerusha jiwe kwa nchi yake akiliponda soka la nchi hiyo kwamba halina mvuto kwa kukosa mashabiki. Cantona amesema soka la Ufaransa...

  3. Waamuzi ni pasua kichwa, majanga kibao

    “Mwamuzi Emmanuel Mwandembwa (Arusha) amefungiwa miezi (6) kufanya kazi ya uamuzi wa mpira wa miguu kwa kosa la kushindwa kutafsiri vyema sheria 17 za mpira wa miguu jambo lililosababisha...

  4. PRIME MTU WA MPIRA: Samatta anamaliza, Msuva anarudi, tunabaki na nani?

    MBWANA Ally Samatta anaelekea ukingoni mwa maisha yake ya soka baada ya miaka mingi ya kufanya vizuri. Kuna tunachomdai Samatta? Hakuna. Samatta ameweka historia nyingi ambazo itachukua miaka...

  5. ASANTENI WADAU, ILIKUWA SAFARI POA!

    kuuzwa Kanda ya Pwani ambapo nakumbuka kuna wakati idadi ya mauzo ilipanda hadi nakala 14,000 kwa kila toleo, likaenezwa kote nchini ambapo lilipokewa vizuri. Kuna mengi ambayo sitaweza kuyataja...

  6. MAONI: Hata Uwanja wa Kirumba unaweza kuwa kama Amaan

    JUZI Jumatano, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi alizindua Uwanja wa Amaan. Uwanja huo umefanyiwa ukarabati na kuwa bora zaidi kuliko ulivyokuwa awali. Serikali ya...

  7. Marekebisho ya Katiba Simba sasa mambo freshi

    tena kabla ya kufunga zoezi hilo. Kamati hiyo imeendelea kuwasisitiza wadau wake ambao ni wanachama kuwasilisha maoni yao kupitia njia walizoelekezwa kutuma ama kupelekea kwenye ofisi za Simba...

  8. PRIME Msuva apangua usajili Yanga

    MSHAMBULIAJI Simon Msuva yupo nchini tayari baada ya kutua tangu majuzi kimyakimya, kuwahi kambi ya timu ya taifa inayojiandaa na fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon), lakini akianzia...

  9. PRIME Phiri bado aipasua Simba

    Simba wanarudi mazoezini kwa sasa ili kujiandaa na michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 itakayoanza Alhamisi, huku ikielezwa mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Moses Phiri akiwavuruga na kuwagawa...

  10. Kipigo cha refa chaiamsha TFF

    soka inapaswa kuhakikisha halitokei Tanzania kwa sasa wala siku za usoni. “Mpira una sheria zake 17 pia kuna kanuni zinatakiwa kuzingatiwa na kufuatwa pale mwamuzi au mchezaji anapofanya makosa na...

Previous

Page 12 of 35

Next