Kagawa aziingiza nne vitani BAADA ya kupewa mkono wa kwaheri na Kagera Sugar, Ally Ramadhan ‘Kagawa’ ameziingiza vitani timu nne zikiwemo Geita Gold na Ken Gold zikiwania kupata huduma yake kwa msimu ujao.
Goran aomba mechi mbili za kutesti WAKATI maandalizi ya Pamba Day yakizidi kunoga, Kocha wa Pamba Jiji, Goran Kopunovic ameomba mechi mbili kutesti mitambo ya kikosi chake baada ya kujifua kwa wiki nne mjini Morogoro na Mwanza.
Mashabiki Simba, Yanga tambo kibao WIKENDI hii Simba na Yanga zinahitimisha kilele cha matamasha yao ya Simba Day na Wiki ya Mwananchi, huku mashabiki wa timu hizo mkoani Mwanza wakitambiana kufunika kwenye Uwanja wa Benjamin...
Pamba sasa mambo yameiva KIPA mkongwe kwenye Ligi Kuu Bara, Shaban Kado amesema maandalizi yanayofanywa na Pamba Jiji ni ishara ya timu hiyo kutaka kufanya vizuri kwenye michuano hiyo na kutotaka mazoea ya timu...
Josiah, Choki waachiwa msala Geita Gold Geita Gold imethibitisha kumalizana na Amani Josiah kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuendelea kama ataipandisha Ligi Kuu, huku Choki Abeid akiwa...
Kaseja matumaini kibao Kagera Sugar IKIWA imemaliza siku 15 tangu ilipoanza maandalizi ya msimu mpya Julai 12, mwaka huu, Kocha wa makipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amesema maendeleo ya kikosi chao siyo mabaya huku akiwa na...
Makocha Pamba Jiji wabebeshwa mzigo WAKATI Pamba Jiji ikizindua wiki ya tamasha lake litakalofanyika Agosti 10, mwaka huu katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, Mlezi wa timu hiyo, Said Mtanda alisema Kocha Goran Kopunovic na...
LUKINDO: Winga alitua Ligi Kuu, akimpigia saluti Maxi BAADA ya msoto wa miaka miwili akijitafuta katika Ligi ya Championship, hatimaye msimu uliomalizika wa ligi hiyo winga Herbert Lukindo amejipata kwa kuonyesha kiwango kikubwa na kuzivutia timu...
Goran akomalia mambo matatu Pamba FC KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji FC, Goran Kopunovic amekaa kambini kwa muda wa wiki moja mjini Morogoro na kuwasoma wachezaji kisha kusema ameona mwanga kwa vijana wake na anaendelea kukomalia mambo...
Mwanza waliamsha mapema Simba Day WANACHAMA wa Simba Mkoa wa Mwanza wameanza mapema kujipanga kwa safari ya kwenda jijini Dar es Salaam kuiunga mkono timu yao katika tamasha la Simba Day litakalofanyika Agosti 3, mwaka huu.