Lionel Messi atia neno sakata la AFCON 2025 Mjadala mkali umeendelea kushika kasi kufuatia sintofahamu inayoizunguka michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), huku wadau wa soka barani Afrika na duniani wakionyesha wasiwasi kuhusu...
Vita ya taji la Carabao, Man City v Arsenal Wembley LEO Jumapili, macho ya mashabiki wa soka duniani yataelekezwa katika uwanja wa kihistoria wa Wembley, ambapo vigogo wawili wa soka la England, Manchester City na Arsenal, watashuka dimbani...
Peterson ni Kobe Bryant mpya NBA? KATIKA miaka ya hivi karibuni, mpira wa kikapu wa Marekani umeendelea kuzalisha vipaji vipya vinavyovutia macho ya wengi, lakini wachache wamepata uzito kama ilivyo kwa Darryn Peterson, mwenye...
Machaguo kibao ya Silva akisepa Man City KIUNGO shoka wa Manchester City, Bernado Silva (31), hivi sasa anaweza kuwa anapitia taratibu orodha ya ofa ambazo zimefikishwa mezani kwake na wakala wake, Jorge Mendes, kwa ajili ya kuamua timu...
Haaland aweka mzigo kwenye chesi STRAIKA supastaa wa kimataifa wa Norway, Erling Haaland, amekubali kuwekeza mamilioni katika mashindano mapya ya mchezo wa chesi yenye zawadi ya Pauni 2 milioni.
Mykhailo Mudryk aibuka na muonekano mpya akiwa kwenye adhabu WINGA wa Chelsea, Mykhailo Mudryk ameonekana tofauti na alivyozoeleka, huku nyota huyo akiendelea na mazoezi binafsi wakati akiwa amefungiwa kujihusisha na soka.
Ronaldo ailipua CAF sakata la AFCON 2025 Sakata la kutatanisha kuhusu ubingwa wa AFCON 2025 limechukua sura mpya baada ya nyota wa soka duniani Cristiano Ronaldo kuibuka hadharani na kulaani vikali uamuzi wa CAF kuivua Senegal ubingwa...
Yanga yakwama kwa Mtibwa, Simba ishindwe yenyewe Nuksi ya sare imeendelea kuiandama Yanga baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Atimuliwa timu ya taifa Iran kisa picha na kiongozi wa Dubai Mshambuliaji nyota wa Iran, Sardar Azmoun, amefukuzwa katika kikosi timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kukiuka kile kilichoonekana kuwa kitendo cha kutokuwa mwaminifu kwa serikali.