Chombo cha kusimamia miundombinu ya michezo kuanzishwa Serikali imeanza mchakato wa kuanzisha chombo maalumu cha usimamizi wa miundombinu ya michezo katika kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa miundombinu ya michezo nchini.
Kompany alivyomaliza gundu la Harry Kane MAKOCHA kibao walijaribu. Na wote walishindwa. Lakini, Vincent Kompany alifanikiwa kufanya kitu kilichowashinda magwiji kama Mauricio Pochettino, Jose Mourinho, Antonio Conte na Gareth Southgate...
PRIME Shughuli imekuwa nzito Chamazi... Azam yarusha taulo MSIMU wa Ligi Kuu Bara ni kama umebakiza mechi zisizozidi tano kwa timu zote kuhitimishwa, lakini kuna harakati kibao zinazoendelea kwa kila timu kuweka hesabu zake sawa katika dakika hizi za...
PRIME Ni aibu! Madudu ya waamuzi yachefua wengi Ligi Kuu WAKATI Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka nchini, ikisema imeanza uchunguzi kwa waamuzi waliochezesha mechi ya Simba na Mashujaa, iliyogeuka gumzo, wadau mbalimbali wa soka wakiwamo...
PRIME Sababu tatu zilizoiangusha Yanga CAS MABOSI wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa sababu...
PRIME SIRI: Jeraha linalotesa mastaa msimu huu KATIKA mchezo wa soka, kuna majeraha ya aina tano yanayowatesa zaidi wachezaji ambayo ni kifundo cha mguu, goti, nyama za paja, bega na kuvunjika mfupa.
Alexander-Arnold kubadili upepo Liverpool BEKI kisiki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ambaye anadaiwa atajiunga na Real Madrid mwisho wa msimu huu, mkataba wake utakapomalizika, huenda mambo yakabadilika na akabaki kwa mujibu wa...
Kuhusu Cunha, Amorim kasema haweki neno KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekataa kutoa maoni kuhusu tetesi zinazoihusisha timu hiyo na nyota wa Wolves, Matheus Cunha, anayedaiwa anaweza kusajiliwa dirisha lijalo.
Kocha Liverpool akanusha ishu ya Nunez KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amepuuza madai kwamba hajamchezesha Darwin Nunez katika mechi kadhaa kwa sababu ya kifungu kilichomo kwenye mkataba wake ambacho kinaitaka Liverpool kuilipa klabu...
PRIME Rekodi zinaisogeza Simba fainali CAFCC SIMBA inahesabu saa tu kwa sasa kabla ya kushuka uwanjani kukabiliani na Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku rekodi...