Aprili 2025: Matukio makubwa ya kimichezo ndani ya 1xBet Kama unapenda michezo na unahitaji matukio bora ya michezo kwa ajili ya ku bet on April events, 1xBet ina machuguo bora kwa ajili yako. Bashiri kistaarabu na tumia muda wako kufanya machaguo...
PRIME Siri nyuma ya viatu vya mastaa NBA UNAZIJUA sneaker? Hivi ni viatu vya wachezaji wa NBA. Ndiyo, wachezaji wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), mara nyingi huvaa viatu vya hali na hadhi ya juu (high-top sneakers) kwenye matangazo yao...
Aprili 2025: Matukio makubwa ya kimichezo ndani ya 1xBet Aprili ni mwezi uliosheheni matukio mengi ya kimichezo. Mashindano ya mpira wa miguu yanaelekea kwenye mechi za mwisho za maamuzi, mbio za magari za Formula 1 nazo zinashika kasi huku MMA ikija...
Ronaldo, Messi Uso kwa uso Buenos Aires MASTAA Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanaweza kuwa sehemu ya timu moja kwa mara ya kwanza katika maisha yao ya soka, ripoti zinaeleza.
Haaland ndo hivyo tena Man City MANCHESTER City imefichua kwamba straika wao Erling Haaland huenda akakaa nje kwa siku kadhaa msimu huu baada ya kupata maumivu ya enka.
PRIME SENYO: Kinyozi wa mastaa EPL, anayepiga pesa ndefu MBALI ya uwezo wao mkubwa wanaoonyesha kiwanjani moja kati ya mambo ambayo wachezaji wengi wanazingatia ni muonekano wao.
Yaliyojiri mkutano wa Waziri Kabudi, TFF, TPLB, Yanga na Simba Kwa Mkapa SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo? Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba...
GLT hii ndio dawa ya mabao ya utata BAO lile. Hapana, sio bao. Ni ubishani unaojitokeza mara kwa mara kwenye mchezo wa soka, inapotokea mpira uliopigwa haukuonekana sawasawa kama umevuka mstari wa goli au la.
PRIME Mashine ya mashuti inavyonoa mastaa mazoezini MAISHA yanakwenda kasi sana. Kwenye viwanja vya mazoezi ya mchezo wa soka teknolojia imeshika hatamu.
PRIME Hii vesti kiboko ya wachezaji wavivu KWENYE soka la kisasa, mchezaji anaposajiliwa kutoka timu moja kwenda nyingine, kuna vitu vingi vinazingatiwa. Ipo hivi, baada ya skauti wa timu A kumwona mchezaji wa timu B na kuvutiwa naye...