Search

114 results for Mohammed Kuyunga :

  1. MJUAJI: Jengo la Yanga lawekwa rehani

    MARA kwa mara jengo la klabu ya Yanga limekuwa katika hatihati ya kutaka kupigwa mnada na Benki ya Nyumba (THB). Ni miaka ya hivi karibuni habari za jengo hilo ndio zimepotea masikioni mwa...

  2. Kwa nini ni Try Again na Mangungu?

    wanachama watakwenda kumuandama yule ambaye anawawakilisha. KWANINI TRY AGAIN? Pamoja na kwamba mfumo wa uongozi umebadilika ndani ya Simba na wanachama hawana nguvu upande wake kwa kuwa...

  3. MJUAJI: Rekodi za mabao mengi Simba na Yanga

    HISTORIA inaendelea kuandikwa. Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, katika mchezo wa ‘Dabi ya Kariakoo’. Katika hali isiyotarajiwa na wengi, Yanga iliandika historia nyingine baada...

  4. MJUAJI: Simba, Yanga zafurahia vifo vya dabi zao

    LEO Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kinawaka tena. Ni katika dabi. Ndio Tanzania dabi imebaki moja tu. Ni Simba dhidi ya Yanga. Hakuna nyingine. Dabi hii unaweza...

  5. PRIME MJUAJI: Hii hapa ndoto tamu ya kijiji cha michezo

    BINAFSI nimekikumbuka Kijiji cha Wanamichezo kilichokuwa kijengwe katika miaka 1970. Nimekikumbuka kijiji hicho baada ya kuziona picha za Rais Samia Suluhu Hassan alipomtembelea Jenarali mstaafu...

  6. Aliyefia uwanjani 1979 sio Hussein Tindwa

    , aliyekuwa akicheza kama kiungo katika timu hiyo, Yahya Omari Mohammed Mtulya. Nilipozungumza na kaka Mtulya alikiri wazi alimfahamu Tindwa kwa jina la Hassan wakati akicheza naye Tambaza...

  7. MJUAJI: Pan Africans iligomea ligi 1982

    SUALA la timu za Ligi Kuu kuwa na viporo vingi kwa kisingizio cha mechi za kimataifa halikuanza leo wala jana, lilikuwepo tangu kitambo. Suala hili lilikuwa likizihusisha sana timu za Simba na...

  8. MJUAJI: Simba iliipiga Manchester mabao 5-1 mwaka 1982

    MANCHESTER United iko kwenye majanga makubwa zaidi msimu huu. Katika mechi sita imepasuka michezo minne na kushinda miwili. Imechapwa tatu za Ligi Kuu England (EPL) na moja ya Ligi ya Mabingwa...

  9. PRIME MJUAJI: Al Merrikh ni mechi ya Sure Boy

    MWAKA 1981 Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Rud Gultendof alikuwa akizunguka na winga wa timu hiyo, Said George katika Fukwe ya Bahari ya Hindi. Ilikuwa kando kidogo ya Hoteli...

  10. PRIME MJUAJI -2 : Boniface Mkwasa alisajili Simba 1982

    WIKI iliyopita tuliona jinsi mchezaji wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa alivyoidhinishwa na Chama cha Soka cha Tanzania kuitumikia Simba. Hata hivyo, baada ya muda, mchezaj huyo aliandika barua...

Previous

Page 2 of 12

Next