Kasi ya kriketi yaipa kicheko TCA CHAMA cha Kriketi Tanzania (TCA) kinaiona kesho ya ngavu katika mchezo huo kutokana na kasi ya ukuaji katika mikoa mingi ya Tanzania.
Mkwawa Rally mtihani wa kwanza kwa Birdi BINGWA wa mbio za magari mwaka 2024, Manveer Birdi anatarajiwa kuanza kwenye mashindano ya ufunguzi wa msimu ya Mkwawa Rally of Iringa, yanayotarajiwa kuchezwa mwezi Mei, mwaka huu, mkoani Iringa.
Pearl of Africa Prince Nyerere, Nasser watua kwa Museven WATANZANIA Prince Charles Nyerere na Yassin Nasser wanatarajiwa kushiriki katika mbio za magari zitakazofanyika Mbarara, Uganda kusaka ubingwa wa Afrika, ikiwa ni mara ya kwanza kuchezwa...
Nasser, Prince mguu sawa mbio za magari Uganda MTANZANIA Yassin Nasser ataondoka wa pili katika mashindano ya raundi ya pili ya ubingwa wa mbio za magari Afrika, kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na waandaaji zikiwa zimebaki siku nane kabla...
Madina, Vicky waiona neema Kenya Ladies Open WAKIWA na ari ya ushindi, Watanzania Madina Iddi na Vicky Elias wamesema wanaiona neema katika mashindano ya wazi ya gofu ya wanawake Kenya ambayo yananza kesho katika viwanja vya Sigona jijini...
Tanzania yachomoza kriketi Afrika WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Afrika wa mchezo wa kriketi wameonyesha kuridhishwa na namna ya ukuzaji wake, baada ya viongozi kutoka nchi 25 kukutana Dar es Salaam.
Mount Uluguru Rally yawaita madereva Morogoro Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ leo itafahamu kundi itakalopangwa na wapinzani itakaocheza nao kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri kama...
Vicky, Madina vitani kesho Kenya Ladies Open Baada ya kushindwa kumaliza mashindano ya Kimataifa ya gofu ya wanawake nchini Afrika Kusini mwezi Februari mwa mwaka huu, Vicky Elias amepania kufuta makosa yake katika mashindano ya wazi ya...
Tanzania kuanza na Uganda kriketi T20 Nigeria TIMU ya taifa ya vijana ya kriketi ina matumani ya kuendelea kufanya vyema katika michuano ya vijana wa chini ya miaka 19 ambayo inanza kuchezwa mjini Lagos, Nigeria mwishoni mwa juma hili.
Tanzania vs Mali kriketi T20, si kioja tena Mechi ya ufunguzi ya kusaka tiketi ya kucheza michuano ya dunia ya ICC Ligi B kati ya Tanzania na Mali lilikuwa ni gumzo kubwa na majibu yake yamekuja hivi karubuni baada ya nchi hiyo ya Afrika...