Rayvanny, Marioo kuliamsha Kizimkazi MSIMU mpya wa Tamasha la Kizimkazi unatatarajiwa kufanyika Julai 19, huku wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rayvanny na Marioo ni kati ya watakaowasha moto sambamba na bendi kongwe za...
Kifimbo cha Mfalme kutua nchini siku nne KIFIMBO cha Mfalme kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa michezo ya Jumuiya ya Madola, kitakimbizwa hapa nchini kwa siku nne kuanzia Agosti 2 hadi 6, 2025.
Mashabiki, Simba, Yanga kuliamsha Kizimkazi Festival WAKATI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kizimkazi litakalofanyika kwa siku nane kuanzia Julai 19, mashabiki wa timu kongwe za Simba na Yanga...
Mke asimulia dakika za mwisho za Lundenga, kuzikwa Jumanne, Morogoro Twigi Lundenga ambaye ni mke wa Hashim 'Uncle ' Lundenga ameeleza dakika za mwisho za mumewe.
PRIME Ishu ya Ally Kamwe yaibua mitazamo tofauti Wanasheria wamekuwa na mitazamo tofauti katika sakata la kukamatwa Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe huku wakigusia kilichowahi kutokea Mkuu wa Idara ya Habari wa Simba kwa Ahmed Ally.
Fid Q awapa nafasi mashabiki kuamua MWANAMUZIKI Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025 atakapopanda kwenye jukwaa la Bongo Flava Honors.
PRIME Kubeti, kubebana bomu linalosubiri kulipuka Ligi Kuu Katika muendelezo wa makala hii leo, wadau wa michezo wameonyesha ‘bomu’ ambalo Watanznaia wanalitengeneza katika soka kwa kisingizio cha upinzani na utani wa jadi.
PRIME ‘Mzimu’ wa mastaa kubeti unavyotikisa Ligi Kuu Wacheza kamari wa upande fulani nchini humo waliamini beki huyo alijifunga makusudi ili ‘kuwachania mikeka’.
PRIME Hatimaye Hersi afunguka ndoa ya Aziz Ki, Mobetto Rais wa Yanga, Hersi Said amevunja ukimya kuhusu ndoa ya nyota wa timu hiyo, Stephane Aziz Ki na Hamisa Mobetto.
Matumla anavyowaburuza vijana nje ya ulingoni Licha ya kutopanda ulingoni kwa miaka 11 mfululizo, Rashid Matumla ameendelea kutajwa kama bondia bora wa muda wote chini, akiwaburuza nyota wanaofanya vizuri hivi sasa.