PRIME Kocha Yanga katika mtego wa rekodi KUNA rekodi mbili ziko ndani ya uwezo wa Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi lakini zina mtego.
PRIME Yanga yatibua dili la Fei Simba TANGU atambulishwe na Azam FC Juni 8, 2023, baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu, nyota Feisal Salum almaarufu Feitoto, amekuwa akihusishwa na klabu mbalimbali ndani na nje ya nchi.
PRIME Sowah, Sillah kuwachomoa wawili Yanga KUNA hesabu Kali ambazo Yanga inazipiga kibabe ndani ya kikosi chao cha msimu ujao wakitaka kuingiza silaha za maana ndani ya mziki wao lakini kuna wawili lazima waachie nafasi fasta ili dili...