Video Ndimbo acharuka walichokifanya viongozi wa Yanga TFF, "hatuandiki barua kama tunatoa posa... Jumanne, Juni 17, 2025
PRIME Simba, Yanga vita 5 Ligi Kuu... KATIKA siku ambayo wapenzi wa Ligi Kuu Bara watakuwa bize kufuatilia michezo ya ligi hiyo, basi ni kesho Jumapili zitakapochezwa mechi nane za raundi ya 30.
PRIME Dabi ya Juni... Yanga 5 Simba 2 LICHA ya kwamba keshokutwa kuna mechi za kukamilishia raundi ya 30 ya Ligi Kuu Bara ambako vinara Yanga wataivaa Dodoma Jiji na Simba itapepetana na Kagera Sugar, akili za mashabiki wengi wa soka...
Makambo asepa zake kimyakimya KUNA taarifa zinaeleza mshambuliaji wa Tabora United, Heritier Makambo ametimka kambini, sababu ikitajwa ni kudai mshahara, hivyo akaona hakuja haja ya kuendelea kusalia katika timu hiyo.