Video KAULI YA KIPA WA STELLENBOSCH KUHUSU BAO LA CHARLES AHOUA, VAR IKIMALIZA UTATA KWA SIMBA "LION DAY" Ijumaa, Aprili 25, 2025
PRIME Hatuchezi yachukua sura mpya MSISITIZO wa Yanga wa kutocheza Dabi ya Kariakoo bado upo palepale. Inaelezwa kuwa Yanga, haitacheza Dabi ya Kariakoo Juni 15 mwaka huu dhidi ya Simba hadi haki yao ipatikane baada ya mechi hiyo...
PRIME Uamuzi mgumu Simba, MO Dewji atajwa! BILIONEA wa Klabu ya Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji ameridhishwa na mafanikio ya timu hiyo kimataifa licha ya kwamba imeshindwa kubeba ubingwa wa Afrika kwa mara nyingine na fasta ameamua kufanya...
Pyramids, Mamelodi kumaliza ubishi fainali CAFCL Leo saa 2:00 usiku macho ya wapenzi wa soka barani Afrika yatakuwa kwenye Uwanja wa June 30 jijini Cairo, Misri ambapo Pyramids FC itawakaribisha Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mechi...