PRIME Yanga kuipiku Simba Afrika, MC Alger kuamua Jumamosi YANGA ikitinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, itaua ndege wawili kwa jiwe moja.
Simba ya Fadlu yamkosha Azim Dewji SIMBA imerudi nchini ikiwa na tiketi yake mkononi ya kucheza robo fainali ya sita kwenye mashindano ya Caf na kwenye msafara wa timu hiyo alikuwemo mfadhili wao wa zamani, Azim Dewji, ambaye...
Tanzania ilivyojiandaa mashindano ya Chan KAMATI ya ndani ya Tanzania ya maandalizi ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) imesema kuwa Tanzania iko tayari kuandaa fainali hizo mwezi ujao.