PRIME Kwa mziki huu, Simba itapindua meza Zanzibar SIMBA ina deni la mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane lililotokana na kupoteza mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyochezwa Jumamosi iliyopita mjini Berkane, Morocco.
PRIME Sasa ngoma ni Hamisa Mobetto dhidi ya Pep Guardiola! SIKU CHACHE zilizopita Hamisa, Miss XXL After School Bash 2010, alionekana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akimuaga Aziz Ki.
PRIME Kitakachomtokea Pacome Yanga baada ya Aziz KI kuondoka KUONDOKA kwa Stephane Azizi Ki Yanga kumeibua jambo kwa staa wa timu hiyo, Pacome Zouzoua.