Video FADLU NA NDOTO YA KUVUNJA REKODI YA SIMBA BAADA YA MIAKA 32: NINA IMANI NA WACHEZAJI TUNATOBOA CAFCC Ijumaa, Aprili 25, 2025
PRIME Fainali ya kibabe, Ahoua, Kibu kazi kwao BADO saa chache kabla ya Simba kushuka uwanjani kuvaana na RS Berkane ya Morocco kwenye pambano la kwanza la fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku washambuliaji wawili wanaoongoza kwa mabao...
PRIME Fadlu atoa amri kambini kukwepa vita nje ya uwanja SIMBA imeingia siku ya tatu ikiwa Morocco, ikianza kwa kutua Jiji la Casablanca kisha jana ilisafiri kwenda Berkane, kwa ajili ya mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS...
PRIME Mambo matatu kuibeba Simba Morocco KOCHA wa Simba, Msauzi Fadlu Davids anaamini kuna mambo matatu muhimu ambayo yanaweza kuibeba Simba kwenye mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco...