Video AHMED ALLY ANENA KUIFUATA YANGA ZANZIBAR: HATUTAKI KUVULIWA TAULO UKWENI, TUMEKATA NGEBE, INATOSHA ! Jumanne, Aprili 29, 2025
PRIME Vigogo Afrika waingilia dili la Sowah Yanga HAKUNA ubishi, straika wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah ni kama ameshindikana kwa moto aliouonyesha kupitia mechi 11 za Ligi Kuu Bara akifunga mabao 11 na kiwango hicho kimezifanya timu...
Ronaldinho, Kaka kukipiga Zanzibar MASHABIKI wa soka Zanzibar na Afrika kwa ujumla, wakae tayari kushuhudia tukio la Kihistoria litakalofanyika Julai 27, 2025, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, kupitia “The Match of the Legends”...
PRIME Rekodi yamsubiri Mzize Ufaransa KIWANGO bora kinachoonyeshwa na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kimezivutia timu mbalimbali kusaka saini yake, huku ikielezwa nyota huyo anayeongoza kwa mabao ya Ligi Kuu Bara akiwa na 13...