Ushindwe mwenyewe Odds 117 za ushindi Jumapili hii

Muktasari:
- Ikiwa haikuwa siku yako, basi leo ni siku nyingine ya kupata ushindi! Jumapili nayo ni fursa nyingine nzuri. Tumepanga kwa umakini na tunakufungulia mlango wa kupata faida. Tuna gusa kidogo na kuachia, kwa maana ya kutulia tu na kusubiri matokeo!
KAMA ulifuatilia jana, Jumamosi bila shaka zile Odds tatu za msingi zilikupa ushindi katika mechi kati ya Brighton dhidi ya Chelsea (GG) na Real Madrid dhidi ya Atlético Madrid (GG).
Ikiwa haikuwa siku yako, basi leo ni siku nyingine ya kupata ushindi! Jumapili nayo ni fursa nyingine nzuri. Tumepanga kwa umakini na tunakufungulia mlango wa kupata faida. Tuna gusa kidogo na kuachia, kwa maana ya kutulia tu na kusubiri matokeo!
Odds za msingi leo, kama ilivyokuwa jana, ni 3.46, na tutashiriki kwenye mechi mbili kuu pekee. Hii ni nafasi nzuri ya kutengeneza faida kwa kiasi kizuri bila presha kubwa.
Mechi hizi ni Napoli dhidi ya Udinese na tunakwenda na Over 3 goals, na Sevilla dhidi ya Barcelona ambapo tunashika beti ya Both Teams to Score (GG).
Hapa hatufuatilii nani atashinda, bali tunataka mabao tu yaingie kwenye mechi hizo kama mvua. Ni rahisi, ni amani, na inatoa nafasi nzuri ya ushindi.
Hakuna presha, hakuna matatizo, ni kama vile unajiandaa tu na kutulia. Unachotakiwa kufanya ni kuweka stake yako na kuachia matokeo.
Hivyo, usijali kuhusu nani atashinda muhimu ni kuona kila timu inapata nafasi ya kufunga mabao. Kwa Odds 3.46, tunaamini tunapata faida nzuri ikiwa matokeo yataenda kama tunavyotarajia.
Mchezo wa soka ni zaidi ya kushinda, ni furaha na burudani. Unapokuwa na Odds kama hizi, ni muhimu kujiandaa kwa akili wazi na kuzingatia matarajio yako.
Mechi za leo, Napoli dhidi ya Udinese na Sevilla dhidi ya Barcelona, zitakupa nafasi ya kusherehekea kila bao linalofungwa. Kwa hivyo, iwe ni mechi ya ushindi au siyo, furahiya mchakato na kila momenti ya mchezo!
Tutategemea kuona mabao mengi, na kama itakuwa hivyo, basi odds hizi zitakuletea faida ya kutosha. Tufanye Jumapili hii kuwa siku ya furaha na mafanikio.
Multi Bet (12)
Lazio – Monza
Chaguo: Home 1.32
Venezia – Roma
Chaguo: OVER 2.5 1.71
Napoli – Udinese
Chaguo: OVER 2.5 1.83
AC Reggiana – Cesena
Chaguo: 1 or 2 1.36
Sevilla FC – Barcelona
Chaguo: YES (GG) 1.63
Alaves – Getafe
Chaguo: 1 or 2 1.40
Valencia – Leganes
Chaguo: OVER 1.5 1.40
RB Leipzig – St. Pauli
Chaguo: Home 1.61
Lyon – Reims
Chaguo: Home 1.53
Strasbourg – Montpellier
Chaguo: YES (GG) 1.64
AJ Auxerre – Toulouse
Chaguo: 1 or 2 1.32
Paris FC W – Dijon Fco W
Chaguo: Home 1.23
Jumla Ya Makisio: 117.71