Mastaa wenye takwimu za kibabe Ligi Kuu England
Muktasari:
- Vita nyingine kubwa ukiachana hiyo ya kuwania taji ipo kwenye kusaka nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo mchuano huo unazihusu timu za Manchester United, Aston Villa, Chelsea na Liverpool zikichuana vikali kuhakikisha zinamaliza ndani ya timu tano za juu ili kukamatia tiketi hiyo ya kucheza michuano hiyo ya Ulaya msimu ujao.
LONDON, ENGLAND: LIGI Kuu England imefikia patamu kwelikweli. Arsenal inapambana kulinda pengo lake la pointi saba kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo dhidi ya Manchester City kwenye nafasi ya pili. Lakini, kikosi hicho cha Pep Guardiola kina mchezo mmoja mkononi.
Vita nyingine kubwa ukiachana hiyo ya kuwania taji ipo kwenye kusaka nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo mchuano huo unazihusu timu za Manchester United, Aston Villa, Chelsea na Liverpool zikichuana vikali kuhakikisha zinamaliza ndani ya timu tano za juu ili kukamatia tiketi hiyo ya kucheza michuano hiyo ya Ulaya msimu ujao.
Mkiani kwenye msimamo wa ligi hiyo, vita pia imechachamaa ya timu zinazojaribu kupambana kukwepa kushuka daraja, jambo linalofanya mechi zinazohusu timu za kwenye vita huyo kuwa kali uwanjani na msisimko mkubwa.
Ukiweka taarifa za kuhusu timu, kuna takwimu nyingine zinazohusu mchezaji mmoja mmoja kutokana na kile wanachofanya kwenye Ligi Kuu England, ambapo kila mchezaji akijaribu kuonyesha ubora wake katika eneo lake analocheza ili kuhakikisha anapata kitu cha kujivunia mwisho wa msimu huo. Kwenye hilo, kwa mujibu wa takwimu za FBRef na StatMuse, kuna mastaa wamefunika kwenye takwimu za mambo tofauti kwenye Ligi Kuu England, ikiwamo vinara wa mabao, vinara wa kupiga asisti na wakali waliopiga pasi nyingi kwa kutazama takwimu hizo kwa uchache. Kupata uhondo kamili wa nani ni nani kwenye Ligi Kuu England, Mwanaspoti linakupa mambo yote.
WANAOONGOZA KWA MABAO
Erling Haaland (Man City) – 22
Igor Thiago (Brentford) – 18
Antoine Semenyo (Bournemouth/Man City) – 15
Joao Pedro (Chelsea) – 14
Hugo Ekitike (Liverpool) – 11
Dominic Calvert-Lewin (Leeds) – 10
Viktor Gyokeres (Arsenal) – 10
Danny Welbeck (Brighton) – 10
Bryan Mbeumo (Man United) – 9
Harry Wilson (Fulham) – 9
Cole Palmer (Chelsea) – 9
Bruno Guimaraes (Newcastle) – 9
WANAOONGOZA KWA ASISTI
Bruno Fernandes (Man United) – 14
Rayan Cherki (Man City) – 8
Erling Haaland (Man City) – 7
Jack Grealish (Everton) – 6
Mohamed Salah (Liverpool) – 6
Harry Wilson (Fulham) – 6
WANAOONGOZA KWA KADI ZA NJANO
Cristian Romero (Spurs) – 10
Yerson Mosquera (Wolves) – 10
Andre (Wolves) – 9
Dan Burn (Newcastle) – 9
Lewis Dunk (Brighton) – 9
Joao Gomes (Wolves) – 9
WANAOONGOZA KWA KADI NYEKUNDU
Cristian Romero (Spurs) – 2
Wachezaji 34 – 1
WALIOCHEZA DAKIKA NYINGI
David Raya (Arsenal) – 2,700
Nikola Milenkovic (Nottingham Forest) – 2,610
James Tarkowski (Everton) – 2,610
Virgil van Dijk (Liverpool) – 2,610
Seven goalkeepers – 2,520
WALIOONGOZA KWA KUPIGA MASHUTI
Erling Haaland (Man City) – 98
Matheus Cunha (Man United) – 68
Antoine Semenyo (Bournemouth/Man City) – 67
Thiago (Brentford) – 67
Morgan Rogers (Aston Villa) – 66
Jarrod Bowen (West Ham) – 65
Bruno Fernandes (Man United) – 64
Cody Gakpo (Liverpool) – 64
Hugo Ekitike (Liverpool) – 63
Morgan Gibbs-White (Nottingham Forest) – 63
WANAOONGOZA KWA KUPOTEZA NAFASI ZA KUFUNGA
Erling Haaland (Man City) – 24
Jean-Philippe Mateta (Crystal Palace) – 15
Igor Thiago (Brentford) – 14
Ollie Watkins (Aston Villa) – 13
Hugo Ekitike (Liverpool) – 11
Dominic Calvert-Lewin (Leeds) – 11
Harvey Barnes (Newcastle) – 10
Evanilson (Bournemouth) – 10
Benjamin Sesko (Man United) – 10
Kevin Schade (Brentford) – 10
Joao Pedro (Chelsea) – 10
WANAOONGOZA KWA KUPIGA PASI MUHIMU
Bruno Fernandes (Man United) – 76
Dominik Szoboszlai (Liverpool) – 50
Declan Rice (Arsenal) – 48
Bukayo Saka (Arsenal) – 47
Anton Stach (Leeds) – 45
Florian Wirtz (Liverpool) – 43
Enzo Fernandez (Chelsea) – 43
Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 42
WANAOONGOZA KUPIGA PASI NYINGI SAHIHI
Virgil van Dijk (Liverpool) – 1,996
Lewis Dunk (Brighton) – 1,912
Trevoh Chalobah (Chelsea) – 1,909
Jan Paul van Hecke (Brighton) – 1,670
Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 1,669
Ezri Konsa (Aston Villa) – 1,639
Joachim Andersen (Fulham) – 1,614
Ruben Dias (Man City) – 1,581
William Saliba (Arsenal) – 1,560
Declan Rice (Arsenal) – 1,543
WANAOONGOZA KWA KUGUSA MPIRA MARA NYINGI
Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 2,654
Virgil van Dijk (Liverpool) – 2,592
Trevoh Chalobah (Chelsea) – 2,408
Lewis Dunk (Brighton) – 2,391
Jan Paul van Hecke (Brighton) – 2,285
Dominik Szoboszlai (Liverpool) – 2,262
Declan Rice (Arsenal) – 2,252
Joachim Andersen (Fulham) – 2,224
VINARA WA KUPIGA CHENGA
Jeremy Doku (Man City) – 58
Iliman Ndiaye (Everton) – 52
Mohammed Kudus (Spurs) – 51
Yankuba Minteh (Brighton) – 51
Jarrod Bowen (West Ham) – 44
Bukayo Saka (Arsenal) – 42
Michael Kayode (Brentford) – 38
Kevin (Fulham) – 36
Rayan Cherki (Man City) – 36
KUGUSA MARA NYINGI BOKSI LA WAPINZANI
Erling Haaland (Man City) – 163
Bukayo Saka (Arsenal) – 154
Mohamed Salah (Liverpool) – 151
Cody Gakpo (Liverpool) – 140
Yankuba Minteh (Brighton) – 139
Morgan Rogers (Aston Villa) – 137
Jarrod Bowen (West Ham) – 136
Ollie Watkins (Aston Villa) – 134
WANAOONGOZA KWA KUPIGA TACKLES
Joao Palhinha (Spurs) – 96
James Garner (Everton) – 89
Joao Gomes (Wolves) – 82
Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 82
Tyrick Mitchell (Crystal Palace) – 81
Adrien Truffert (Bournemouth) – 79
Neco Williams (Nottingham Forest) – 75
Florentino Luis (Burnley) – 75
KUPIGA TACKLES WAKIWA WA MWISHO
Cristian Romero (Spurs) – 3
Micky van de Ven (Spurs) – 3
Malick Thiaw (Newcastle) – 3
Abdukodir Khusanov (Man City) – 3
Chris Richards (Crystal Palace) – 3
Ruben Dias (Man City) – 3
Marcos Senesi (Bournemouth) – 3
Wachezaji 16 – 2
KUNASA MIPIRA MARA NYINGI
Moises Caicedo (Chelsea) – 51
James Garner (Everton) – 44
Marcos Senesi (Bournemouth) – 39
Chris Richards (Crystal Palace) – 38
Aaron Wan-Bissaka (West Jam) – 38
Ethan Ampadu (Leeds) – 36
Adrien Truffert (Bournemouth) – 36
Maxence Lacroix (Crystal Palace) – 35
WANAOONGOZA KWA KUOKOA
Virgil van Dijk (Liverpool) – 243
Marcos Senesi (Bournemouth) – 230
James Tarkowski (Everton) – 222
Maxence Lacroix (Crystal Palace) – 207
Joachim Andersen (Fulham) – 204
Dan Ballard (Sunderland) – 190
Pascal Struijk (Leeds) – 186
Trevoh Chalobah (Chelsea) – 183
WAMECHEZEWA RAFU NYINGI
Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 64
Jack Grealish (Everton) – 58
Bruno Guimaraes (Newcastle) – 52
Crysencio Summerville (West Ham) – 50
Gabriel Gudmondsson (Leeds) – 50
Bukayo Saka (Arsenal) – 49
Alex Scott (Bournemouth) – 48
Matheus Cunha (Man Utd) – 47
WAMECHEZA RAFU NYINGI
Joao Gomes (Wolves) – 55
Thiago (Brentford) – 54
Antoine Semenyo (Bournemouth/Man City) – 47
Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 43
Jorgen Strand Larsen (Wolves/Crystal Palace) – 43
Raul Jimenez (Fulham) – 41
Moises Caicedo (Chelsea) – 39
Diego Gomez (Brighton) – 39
Sasa Lukic (Fulham) – 38
Jurrien Timber (Arsenal) – 38
WAMEOTEA MARA NYINGI
Evanilson (Bournemouth) – 23
Dominic Calvert-Lewin (Everton) – 21
Raul Jimenez (Fulham) – 19
Cody Gakpo (Liverpool) – 19
Thiago (Brentford) – 18
Antoine Semenyo (Bournemouth/Man City) – 18
Ollie Watkins (Aston Villa) – 17
Jarrod Bowen (West Ham) – 17
Jean-Philippe Mateta (Crystal Palace) – 15
Joao Pedro (Chelsea) – 14
WANAOONGOZA KURUDISHA MPIRA KWENYE UMILIKI
Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 241
Joao Gomes (Wolves) – 154
Andre (Wolves) – 154
Declan Rice (Arsenal) – 148
Adrien Truffert (Bournemouth) – 148
James Garner (Everton) – 146
Yehor Yarmoliuk (Brentford) – 142
KUCHEZA MIPIRA MINGI YA JUU
Virgil van Dijk (Liverpool) – 134
James Tarkowski (Everton) – 119
Thierno Barry (Everton) – 102
Sepp van den Berg (Brentford) – 99
Daniel Ballard (Sunderland) – 98
Ibrahima Konate (Liverpool) – 91
Malick Thiaw (Newcastle) – 90
Dominic Calvert-Lewin (Leeds) – 84
Jake O’Brien (Everton) – 83
VINARA WA KUJIFUNGA
Maxime Esteve (Burnley) – 2
Yerson Mosquera (Wolves) – 2
Wachezaji 29 – 1
MAKOSA YALIYOSABABISHA MASHUTI
James Tarkowski (Everton) – 6
Pedro Porro (Spurs) – 4
Djed Spence (Spurs) – 4
Curtis Jones (Liverpool) – 4
Yasin Ayari (Brighton) – 4
Carlos Baleba (Brighton) – 4
MAKOSA YALIYORUHUSU MABAO
Emiliano Martinez (Aston Villa) – 3
Nick Pope (Newcastle) – 3
Wachezaji 17 – 2
WAMESABABISHA PENALTI
Ibrahim Sangare (Nottingham Forest) – 2
Max Kilman (West Ham) – 2
Caoimhin Kelleher (Brentford) – 2
Michael Kayode (Brentford) – 2
Yerson Mosquera (Wolves) – 2
Ryan Sessegnon (Fulham) – 2
Maxence Lacroix (Crystal Palace) – 2
MECHI NYINGI BILA KURUHUSU BAO
David Raya (Arsenal) – 14
Gianluigi Donnarumma (Man City) – 11
Dean Henderson (Crystal Palace) – 10
Jordan Pickford (Everton) – 10
Robert Sanchez (Chelsea) – 9
Robin Roefs (Sunderland) – 8
Alisson (Liverpool) – 8
Djordje Petrovic (Bournemouth) – 8
MAKIPA WANAOONGOZA KWA SEVU
Martin Dubravka (Burnley) – 106
Djordje Petrovic (Bournemouth) – 88
Dean Henderson (Crystal Palace) – 86
Robin Roefs (Sunderland) – 85
Bart Verbruggen (Brighton) – 80
Jordan Pickford (Everton) – 78
Alphonse Areola (West Ham) – 76
Guglielmo Vicario (Spurs) – 76
Caoimhin Kelleher (Brentford) – 74
MAKIPA WALIOOKOA PENALTI NYINGI
Caoimhin Kelleher (Brentford) – 3
Robin Roefs (Sunderland) – 1
Jordan Pickford (Everton) – 1
Giorgi Mamardashvili (Liverpool) – 1
Emi Martinez (Aston Villa) – 1
Bart Verbruggen (Brighton) – 1
Gianluigi Donnarumma (Man City) – 1
Dean Henderson (Crystal Palace) – 1
MAKIPA WAMERUHUSU MABAO MACHACHE
David Raya (Arsenal) – 22
Gianluigi Donnarumma (Man City) – 23
Emi Martinez (Aston Villa) – 25
Jose Sa (Wolves) – 28
Alisson (Liverpool) – 29
Senne Lammens (Man United) – 29
Lucas Perri (Leeds) – 29
Matz Sels (Nottingham Forest) – 31
Nick Pope (Newcastle) – 31
Robert Sanchez (Chelsea) – 32
MAKIPA WANAOONGOZA KWA ASILIMIA ZA SEVU
Emi Martinez (Aston Villa) – 73.2%
Dean Henderson (Crystal Palace) – 73%
Gianluigi Donnarumma (Man City) – 72.9%
Robin Roefs (Sunderland) – 72.2%
Bart Verbruggen (Brighton) – 71.6%
Jordan Pickford (Everton) – 71%
Alphonse Areola (West Ham) – 70.4%
Matz Sels (Nottingham Forest) – 70%
Robert Sanchez (Chelsea) – 69.6%
Nick Pope (Newcastle) – 69.1%