Mastaa wa kuokota Ligi Kuu England

Muktasari:
- Sambamba na hilo kuna mastaa kibao pia wanatazamiwa kuachana na timu zao msimu utakapomalizika kutokana na mikataba yao kufika tamati.
LONDON, ENGLAND: KLABU za Ligi Kuu England zitakuwa bize kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi, huku kukitarajiwa kuwapo na dili kibao za wachezaji wa bei chee.
Sambamba na hilo kuna mastaa kibao pia wanatazamiwa kuachana na timu zao msimu utakapomalizika kutokana na mikataba yao kufika tamati.
Kwa maana hiyo, wachezaji hao watakuwa wanapatikana bure kabisa sokoni wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa.
Kuna mastaa 66 kwenye Ligi Kuu England, ambao watapatikana bure kabisa kwenye dirisha lijalo la usajili kutokana na mikataba yao kufika tamati kwenye timu wanazochezea kwa sasa.
Arsenal; Jorginho, Thomas Partey.
Aston Villa; Kortney Hause, Robin Olsen
Brentford; Josh Dasilva, Ben Mee
Brighton; Tariq Lamptey, James Milner
Chelsea; Lucas Bergstrom
Crystal Palace; Nathaniel Clyne, Joel Ward, Remi Matthews
Everton; Dominic Calvert-Lewin, Abdoulaye Doucoure, Michael Keane, Idrissa Gueye, Joao Virginia, Ashley Young, Seamus Coleman, Joao Virginia, Asmir Begovic, Mason Holgate, Neal Maupay
Fulham; Kenny Tete, Carlos Vinicius, Tom Cairney, Willian
Ipswich; Axel Tuanzebe, Cameron Burgess, Massimo Luongo, Marcus Harness, Elkan Baggott
Leicester City; Jamie Vardy, Danny Ward, Daniel Iversen
Liverpool; Trent Alexander-Arnold, Harvey Davies
Man City; Kevin De Bruyne, Scott Carson
Man United; Victor Lindelof, Christian Eriksen, Jonny Evans, Tom Heaton
Newcastle United; Callum Wilson, Jamal Lewis, Mark Gillespie, John Ruddy
Nottingham Forest; Harry Toffolo, Willy Boly, Wayne Hennessey
Southampton; Kyle Walker-Peters, Adam Lallana, Joe Lumley
Tottenham; Sergio Reguilon, Fraser Forster, Alfie Whiteman, Ben Davies
West Ham; Danny Ings, Vladimir Coufal, Michail Antonio, Lukasz Fabianski, Aaron Cresswell, Kurt Zouma
Wolves; Nelson Semedo, Pablo Sarabia, Craig Dawson