Simba yaipasua Azam, Steve Barker aendeleza rekodi yake SIMBA leo Septemba 16, 2026 imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika pambano la Mzizima Dabi lililopigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, huku kocha Msauzi, Steve Barker...
Siri ya mabao ya Mwajanga Mbeya City WAKATI mashabiki wakiduwazwa na kiwango cha straika wa Mbeya City, Oscar Mwajanga, kocha Mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga amefichua kinachoendelea baina yake na staa huyo kikosini hapo.