Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Singida FG, Prison yaanza kwa sare Ligi Kuu

Muktasari:

  • Tanzania Prisson nafasi ya tisa  na pointi moja sawa na Singida nafasi ya 10 kwenye Ligi Kuu wakiwa  wamecheza mechi moaja tu

Singida Fountain Gate FC imecheza mchezo wa kwanza Ligi Kuu msimu huu dhidi ya Tanzania Prison na mchezo kumalizika kwa sare ya bila kufungana 0-0 katika Uwanja wa Liti, Singida

Tanzania Prisson nafasi ya tisa  na pointi moja sawa na Singida nafasi ya 10 kwenye Ligi Kuu wakiwa  wamecheza mechi moaja tu

Sare ya Singida na Prison inakuwa ni ya pili katika mechiambapo jana mchezo kati ya Mashujaa na Geita Gold ulochezwa uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma ulimalizika kwa sare ya bila kufungana 0-0

Tanzania Prison itacheza mchezo wake wa pili dhidi ya Azam FC Agosti 28 Uwanaj wa Azam Complex, Chamazi huku Singida itachanga karata yake dhidi ya Kitayosce Agosti 31 Uwanja wa Liti, Singida