Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Saido ndani ya kibarua kizito kufuzu Afcon 2023

Nyota wa Simba na mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu uliopita, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ atakuwa na kibarua leo na timu yake ya taifa kwenye mechi ya mwisho kuwania kufuzua fainali ya mataifa Afcon 2023  dhidi ya Cameroon

Burundi iliifuzu inahitaji sare yoyote au ushindi  huku wapinzani wao wakihitaji ushindi katika mchezo huo

Endapo mchezo utaisha kwa sare ya bao moja Burundi atafuzu kwa kuwa na mabao matano na Cameroon wao watakuwa na mabao manne na hivyo kushindwa kufuzu


Ugumu wa mchezo huu upo katika idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa Cameroon wanaidadi ndogo ya mabao ya kufunga (3) huku Burundi wao wakiwa mabao (4)

Aidha katika msimamo wa kundi C Namibia anaongoza kundi kwa pointi 5 akiwa amecheza michezo minne huku Cameroon akiwa nafasi ya pili pointi 4 sawa na Burundi aliyepo nafasi ya tatu