Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Oscar amwita Costa China

Muktasari:

Nyota huyo wa Shanghai amekuwa na ndoto ya kucheza klabu mja na mshambuliaji huyo wa Chelsea ambaye kiwango chake kimeimarika msimu huu.

Shanghai, China. Mchezaji Oscar anayechezea klabu ya Shanghai amesema kwamba atafurahi Diego Costa akijiunga na klabu ya Ligi Kuu China.

Costa (28) amekuwa akihusishwa kuhamia Ligi Kuu ya China baada ya msimu huukumalizika huku akitajwa kujiunga na Tianjin Quannjian.

Oscar alihamia Shanghai mwezi Januari huku akiwa na matarajio makubwa kuhusu mchezaji huyo wa kimatifa wa Hispania kwenda kucheza soka China.

“Siwezi kumshauri moja kwa moja  jambo moja la msingi ninaloweza kumwambia  ninafurahia maisha ya soka China,” alisema Osca alipokuwa akizungumza na CCTV-5.