Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mama ntilie wawashukuru Meridianbet kwa kuwapelekea Aprons

Mama Ntilie wa maeneo ya Kariakoo na Manzese wafikiwa na Meridianbet hii leo na kupewa Aprons na hawakusita kutoa shukurani zao za dhati kwa kampuni hiyo ambayo imeona mchango wao wanaotoa kwa jamii. Meridianbet iliona umuhimu wa kutoa aprons hiyo kwa kina mama hao kwani zina umuhimu sana kwao.

Kila mtu anajua umuhimu wa kula chakula ambacho kimeandaliwa kwenye mazingira safi na salama hata pale ambapo anakula chakula hicho asiwe na wasiwasi wa kula chakula ambacho si salama na mwisho wa siku kikamleta magonjwa kama vile kuharisha, kipindupindu na mengine mengi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Na kuhakiksha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

 Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie ambaye ni mama John amesema kuwa anawashukuru Meridianbet kwa kuwafikia nakuwaletea Aprons hizo kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa sana kwao lakini pia waendelee hivyo hivyo kuwafikia wananchi wote wenye uhitaji.