Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Jeshi jipya Ligi Kuu Bara ndo hili hapa

TAYARI dirisha la usajili la wachezaji lilifungwa tangu Jumanne na sasa kilichobaki ni kuona namna nyota hao watakayoyafanya kwenye ligi itakayoanza wikiendi hii.

Ndani ya Ligi Kuu pekee tumeshuhudia wachezaji wakigeni 50 wakisajiliwa huku Azam na Simba zikisajili nyota 10, Yanga ikiwa na yota nane, Namungo FC saba, Biashara sita, KMC watatu, Kagera Sugar wawili wakati Dodoma, Mtibwa Sugar, Gwambina na Mbeya City wakiwa na nyota mmoja.

Katika usajili mengi yametokea hasa sakata la Benard Morisson aliyekuwa akiitumikia Yanga msimu uliopita lakini katika orodha ya usajili inaonekana yupo ndani ya Simba.

Mwanaspoti kama kawaida linakudondoshea kwa karibu nyota waliotua ndani ya vikosi vyote 18 vya Ligi Kuu ambavyo vinaanza kulisaka kombe la msimu huu Jumapili.

  1. AZAM FC

Alain Akono

Prince Dube

Emmanuel Charles

Davi Kissu

Awesu Awesu

Ismail Aziz

Ayoub Lyanga

2. BIASHARA UNITED

Zziwa Joseph

Ssetuba James

3. COASTAL UNION

Coastal Unioni imeachana na jumla ya wachezaji 19 kati yao saba wamebaki kwenye timu za Ligi Kuu na wapya ni hawa.

Gadafi Ally

Adil Sultan

Yusuph Soka

Rashid Chambo

Abdul Suleiman

4. DODOMA JIJI FC

George Wawa

Salmini Hoza

Dickson Ambundo

Justine OmarI

Jukumu Kibanda

Cleophace Mkandara

Aron Kalambo

Peter Mapunda

Seif Karie

Michael Chinedu

5. IHEFU SC

Paul Luyungu

Jordan John

Omary Khamis

Wema Sadoki

Geoffrey Kivywanzi

Cyprian Kipenye

Omari Kindamba

Geofrey Rafael

Peter Ali

Kess evance

Omar Mponda

Emmauel Kichiba

Isihaka Joseph

Alex Venance

6. GWAMBINA FC

Mohamed Makaka

Stali Nyambe

Aron Lulambo

Lameck Daniel

Baraka Mtui “Popa”

Novartus Lufunga

Said Mkangu

Paul Nonga

Moric Mahela

Japhet Makalai

Miraji Saleh

7. JKT TANZANIA

Kelvin Sabato

Kelvin Nashon - U20

Joseph Ilunda - U20

Said Ulaya - U20

Hassan - U20

8. KAGERA SUGAR

Hassan Mwaterema

Mbaraka Yusuph

Ally Nassoro

Abdalah Mfuko

Sadat Mohamed

Ali Mton

Mohamed Ibrahim

Feisal Hilal

Dickson Mhilu

Said Kipao

9. KMC FC

Reliants Lusajo

Masoud Abdallah

Raheem Sheikh

Kenneth Masumbuko

David Brayson

Lusajo Mwaikenda

Israel Ptrick

Masoud Abdallah

Martin Kiggi

David Mwasa

Andrew Vicent

Masoud Abdallah

10. MWADUI FC

Rafael Daudi

Atanas Elias

Abeid Kisiga

Cosmas Lewis

Abbas Kapombe

Msenda Amir

Mpoki Mwansasu

Issa Yasin

Majid Kimbondile

11. MTIBWA SUGAR

George Makang’a

Baraka Majogoro

Abal Hamisi

Ramadhan Kessy

Ibrahim Ahmada

Juma Ganabali

Abubakar Omar

Jofrey Kiggi

12. MBEYA CITY

Geofrey Mwashiuya

Taro Joseph

George Sangija

Kibu Prosper

Samwel Mauru

Castor Mhagama

Babilas Chitembe

13. NAMUNGO FC

Sixtus Sabilo

Stephen Sey

Amani Kyata

Haruna Shamte

Iddi Kipagwile

Jafar Mohamed

Frank Magingi

Abdulhalim Humoud

Fredy Tangalo

Johnathan Nahimana

Shiza Kichuya

14. POLISI TANZANIA

Rashid Juma

Daruweshi Saliboko

Kassim Haruna

Datus Peter

Ramadhan Kapera

ussein BakarI

Rashid Juma

Tariq Seif

Faraji Mazoea

15. RUVU SHOOTING

Ponera Kassim

Issa Kajia

16. TANZANIA PRISONS

Steve Mwaijala

Gasper Mwaipasi

Kassim Mdoe

Andrew Ntala

17. SIMBA

Benard Morrison

Charles Ilanfya

Joash Onyango

Ame Ibrahim

Chris Mugalu

Larry Bwalya

David Kameta

18. YANGA

Tonombe Mukoko

Bakari Mwamnyeto

Waziri Junior

Yassin Mustapha

Farid Mussa

Kibwana Shomari

Abdallah Shaibu ‘Ninja’

Carlos Fernandez

Michael Sarpong

Tuisila Kisinda

Sogne Yacouba