Ingia toka katika dirisha dogo Ligi Kuu bara 2022/23

DIRISHA la usajili Ligi Kuu Bara na mashindano mengine ya ndani limefungwa rasmi huku klabu zikivuta silaha mpya na kuacha wachezaji waliokuwa nao kwa nia ya kuimarisha vikosi vyao.
Mwanaspoti linakuletea baadhi ya sajili za nyota wapya zilizokamilika na kutangazwa kabla ya dirisha kufungwa jana na kwa wale mastaa wengine ambao nao walipewa mkono wa kwaheri.
AZAM FC
WALIOINGIA
Abdulai Iddrisu (Bechem United)
WALIOTOKA
Ibrahim Ajibu (Singida Big Stars), Shaaban Chilunda (haijafahamika), Ahmed Salula (haijafahamika).
SINGIDA BIG STARS
WALIOINGIA
Francy Kazadi (Huru), Nickson Kibabage (Mtibwa Sugar), Kelvin Nashon (Geita Gold), Yusuph Kagoma (Geita Gold), Marcos Silva (Huru), Ibrahim Ajibu (Azam FC), Bright Adjei (Aduana Stars)
WALIOTOKA
Peterson Cruz (Clube Nautico Marcilio Dias), Miguel Escobar (Club General Caballero), Frank Zakaria (KMC), James Msuva (Mbeya City), Daud Mbweni (Polisi Tanzania), David Mwantika (Ihefu), Issa Makamba (Kitayosce) na Rajab Zahir (Kitayosce).
SIMBA
WALIOINGIA
Saidi Ntibazonkiza (Geita Gold), Jean-Bakele (TP-Mazembe), Ismael Sawadogo (Difaa El Jadidi), Mohamed Mussa (Malindi)
WALIOTOKA
Dejan Georgijevic (Cong An Ha Noi FC), Victor Akpan (Ihefu) na Nelson Okwa (Ihefu)
YANGA
WALIOINGIA
Kennedy Musonda (Power Dynamos), Mamadou Doumbia (Stade Malien), Mudathir Yahya (Huru).
WALIOTOKA
Heritier Makambo (Haijafahamika), Yacouba Songne (Ihefu), Yusuf Athuman (Coastal Union).
NAMUNGO
WALIOINGIA
Frank Domayo (Huru), Hassan Kibailo (Huru) na Miza Kristom (Mbeya Kwanza).
WALIOTOKA
Mohamed Issa 'Banka' (Polisi Tanzania), Omary Chareli (Haijafahamika), Seleman Bwenzi (Haijafahamika), Mwisho Yangson (Haijafahamika), Abdulrazack Hamza (Haijafahamika), Iddy Farjala (Haijafahamika), Blessing Henshaw (Gasogi United) na Abdul Omary 'Hamahama' (Polisi Tanzania).
GEITA GOLD
WALIOINGIA
Elius Maguri (Huru), Geofrey Muha (Huru), Silvester Godfrey (Polisi Tanzania), Daud Milandu (Huru), Yusuf Abdul (Mlandege)
WALIOTOKA
George Mpole (FC Lipopo), Saidi Ntibazonkiza 'Saido' (Simba), Kelvin Nashon (Singida Big Stars), Adeyum Saleh (Dodoma Jiji), Yusuph Kagoma (Singida Big Stars), Juma Mahadhi (Coastal Union), Miraj Athuman 'Sheva' (JKT Tanzania), Erick Yema (Haijafahamika) na Ramadhan Chombo 'Redondo' (Polisi Tanzania).
KAGERA SUGAR
WALIOINGIA
(BADO)
WALIOTOKA
(HAIJAWEKWA WAZI)
MTIBWA SUGAR
WALIOINGIA
Vitalis Mayanga (Polisi Tanzania)
WALIOTOKA
Adam Adam (Ihefu), Hamad Kadedi (Pamba), Matore Jeanpipi Kalonda (Haijafahamika), Deo Kanda (Haijafahamika) na Nickson Kibabage (Singida Big Stars).
KMC
WALIOINGIA
Hussein Abel (Tanzania Prisons), Deogratius Kulwa (Pamba) na Frank Zakaria (Singida Big Stars).
WALIOTOKA
(HAIJAWEKWA WAZI)
MBEYA CITY
WALIOINGIA
James Msuva (Singida Big Stars), Salum Kihimbwa (Dodoma Jiji) Abdulazack Hamza, Charles Masenga
WALIOTOKA
Jukumu Kibanda (mkopo)
Faisal Mganga (mkopo)
Joseph Ssemuju (mkataba umeisha)
Nelson Ruta (ameondolewa)
Chesco Mwasimba (ameondolewa)
TANZANIA PRISONS
WALIOINGIA
Benedict Tinoko (Huru)
Lambert Sabyanka (Huru)
Benedict Tinocco
Mohamed Ibrahim (JKT)
Shaban Kisiga
WALIOTOKA
Hussein Abel (KMC)
Mudathir Abdallah (Ihefu)
DODOMA JIJI
WALIOINGIA
Stephen Sey (Huru), Adeyum Saleh (Geita Gold).
WALIOTOKA
(HAIJAWEKWA WAZI)
IHEFU
WALIOINGIA
Adam Adam (Mtibwa Sugar), David Mwantika (Singida Big Stars), Mudathir Abdallah (TZ Prisons), Nelson Okwa (Simba), Victor Akpan (Simba) na Yocouba Songne (huru).
WALIOTOKA
Omary Hamis (Haijafahamika), Ally Ramadhan 'Oviedo' (Haijafahamika), Joseph Kinyozi (Haijafahamika), Evaligestus Mujwahuki (Ruvu Shooting) na Wema Sadock (JKT Tanzania).
COASTAL UNION
WALIOINGIA
Yusuph Athuman (Yanga), Yema Mwamba (Kakamega Homeboyz), Juma Mahadhi (Geita Gold), Felly Mulumba (Bandari FC), Justin Ndikumana (Bandari FC) na Omary Banda (Huru).
WALIOTOKA
Optatus Lupekenya (KMKM)
RUVU SHOOTING
WALIOINGIA
Atupele Green (Kyetume FC), Evaligestus Mujwahuki (Ihefu).
WALIOTOKA
(HAIJAWEKWA WAZI)
POLISI TANZANIA
WALIOINGIA
Mohamed Issa 'Banka' (Namungo), Kelvin Sabato (Singida Big Stars), Ibrahim Hilika (Mafunzo), Daud Mbweni (Singida Big Stars), Ramadhan Chombo 'Redondo' (Geita Gold), Abdul Omary 'Hamahama' (Namungo) na Mayala Henock (SM Sanga Balende).
WALIOTOKA
Vitalis Mayanga (Mtibwa Sugar), Omar Chibada (Haijafahamika), Salum Idrisa 'Chau' (Haijafahamika), James Mwasote (Haijafahamika), Salum Chuku (Haijafahamika), Yunus Abdulkarim (Haijafahamika), Silvester Godfrey (Geita Gold), Kelvin George (Haijafahamika) na Sosthenes Iddah (Haijafahamika)