Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

ABC yaipokea UDSM Outsiders

ABC Pict

Muktasari:

  • Kushuka kwa Outsiders kumeifanya ABC iongoze Ligi hiyo kwa pointi 12, ikifuatiwa na Dar City iliyopata pointi 10.

KICHAPO ilichopewa UDSM Outsiders kutoka kwa KIUT cha pointi 65-60, kimeifanya timu hiyo ishuke katika uongozi wa msimamo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) hadi kwenda nafasi ya tano ikiipisha kileleni ABC.

Kushuka kwa Outsiders kumeifanya ABC iongoze Ligi hiyo kwa pointi 12, ikifuatiwa na Dar City iliyopata pointi 10.

Takwimu za msimamo wa Ligi hiyo zimeonyesha Stein Warriors imeshika nafasi ya tatu kwa pointi 10, Pazi (10), UDSM Outsiders (9), Mchenga Star (9), JKT (8), Vijana 'City Bulls' (8) na KIUT (7).

Nyingine ni DB Oratory (7), Chui (7), Polisi (7), Savio (6), Kurasini Heat (6), Srelio (6) na Mgulani JKT (5).


MSIMAMO (WANAUME)

TIMU                         PLD    W     L       PTS

ABC                            6        6        0        12

Dar City                      5         5        0        10

Stein Warriors           6        4        2        10

Pazi                            5         4        1        9

UDSM                         5        4        1        9

Mchenga Stars          6        3        3        9

JKT                              5         3        2        8

Vijana                          5       3        2         8

KIUT                             5        2        3        7