Picha Wachezaji wa Mtibwa Sugar U-20, wakishangilia baada ya kufanikiwa kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vijana ya U-20. Picha na Michael Matemanga Jumapili, Juni 20, 2021 Photo: 1/1 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Simba, Yanga vita 5 Ligi Kuu... KATIKA siku ambayo wapenzi wa Ligi Kuu Bara watakuwa bize kufuatilia michezo ya ligi hiyo, basi ni kesho Jumapili zitakapochezwa mechi nane za raundi ya 30.
Makambo asepa zake kimyakimya KUNA taarifa zinaeleza mshambuliaji wa Tabora United, Heritier Makambo ametimka kambini, sababu ikitajwa ni kudai mshahara, hivyo akaona hakuja haja ya kuendelea kusalia katika timu hiyo.
R.Kelly agonga mwamba, agomewa kuachiwa gerezani MKONGWE wa muziki wa R&B, Robert Kelly maarufu kama R.Kelly, amekataliwa ombi lake la kuachiwa kutoka gerezani siku chache baada ya mawakili wake kudai kuwa alizidishiwa dawa kutokana na...