Simba imefikisha pointi 13 na kupanda kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji.
Mabao ya mchezo huo yamefungwa na Moses Phiri, Habib Kyombo na Abdallah Shaibu 'Ninja' aliyejifunga.
Anayefatia kwenye msimamo ni Namungo ikiwa na pointi 11, Yanga 10 (mechi 4).