ePaper

Mwanaspoti

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Picha

Simba warejea Dar na hasira kali

Jumanne, Februari 14, 2023

KIPIGO cha bao 1-0 ilichopewa Simba kutoka kwa Horoya ya Guinea, imewapa hasira mastaa wa timu hiyo na jana wanarejea nchini ili kuanza kuiwinda Raja Casablanca ya Morocco kwenye mchezo wa pili wa Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba itaikaribisha Raja kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Februari 18. na unaambiwa kabla ya safari ya kuja nchini jana jioni kuanzia saa 10:00 hadi saa 1:00 usiku, benchi la ufundi lilianzia huko huko kuiwinda Raja kwa kuifanyisha timu mazoezi.

Photo: 1/4   

Photo: 2/4   

Photo: 3/4   

Photo: 4/4   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwanaspoti © 2023

Decoration