Picha Simba Queens bingwa WPL 2021/22 Ijumaa, Septemba 30, 2022 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL), Simba Queens wameshinda taji lao la tatu mfululizo msimu huu wa 2021/22 baada ya kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Baobab Queens. Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Simba yaacha msala CAF SIMBA imeendeleza kugawa dozi katika Ligi Kuu Bara baada ya jana kuifumua Pamba Jiji kwa mabao 5-1 na kukata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, huku ikiziachia msala Singida BS...
PRIME Maswali saba mapya Dabi ya Kariakoo, hiki kitaikuta Yanga ikigoma WAKATI wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakicharuka Bungeni kuhusu Dabi ya Kariakoo, kuna maswali yanayohitaji majibu juu ya kile kinachoendelea baada ya Bodi ya Ligi Kuu...
Serikali yajivua lawama ‘Kariakoo Derby’ Serikali imejiweka kando kwenye mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ ikisema haiwezi kuingilia mipango ya mpira kwa kuwa inakiuka sheria za ligi.