Eti nani katisha ! Angalia klabu inayotisha kwa kunasa vichwa England

Thursday July 11 2019

 

LONDON,ENGLAND.DIRISHA la usajili wa majira ya kiangazi huko Ulaya linaendelea, kuna timu zimeshapata wachezaji zinazowataka huku nyingine zikiendelea na mazungumza na wale wanaotaka.

Ligi Kuu England, ambayo ni moja kati ya ligi tano kubwa Ulaya, nako hekaheka zinaendelea. Lakini nani anafahamu tathmini na mabadiliko ya kifedha ya usajili mkubwa kwa kila klabu inayoshiriki EPL kwenye miaka ya karibuni?

Makala haya yanaangazia timu zote za Ligi Kuu England na usajili wao wa karibuni, mchezaji gani amenaswa kwa pesa nyingi kwenye timu hizo? Cheki hapa.

ARSENAL

Sylvain Wiltord – Pauni 13 milioni (Bordeaux,

Agosti 2000).

Advertisement

Andrei Arshavin – Pauni 15 milioni (Zenit St Petersburg, Februari 2009).

Mesut Ozil – Pauni 42.5 milioni (Real Madrid,

Septemba 2013).

Alexandre Lacazette – Pauni 46.5 milioni (Lyon, Julai 2017).

Pierre-Emerick Aubameyang – Pauni 55.5 milioni (Borussia Dortmund,

Januari 2018).

ASTON VILLA

Juan Pablo Angel – Pauni 9.5 milioni (River Plate, Januari 2001).

James Milner – Pauni 10 milioni (Newcastle,

Agosti 2008).

Stewart Downing – Pauni 12 milioni (Julai 2009).

Darren Bent – Pauni 18 milioni (Januari 2011).

Wesley Moraes – Pauni 22 milioni (Junei 2019).

BOURNEMOUTH

Tyrone Mings – Pauni 8 milioni (Ipswich, Juni 2015).

Benik Afobe – Pauni 10 milioni (Wolves,

Januari 2016).

Jordon Ibe – Pauni 15 milioni (Liverpool, Julai 2016).

Nathan Ake – Pauni 20

milioni (Chelsea, Juni 2017).

Jefferson Lerma –

Pauni 25 milioni

(Levante, Agosti 2018).

BRIGHTON

Mat Ryan – Pauni 5 milioni (Valencia, Juni 2017).

Davy Propper – Pauni 10 milioni (PSV, Agosti 2017).

Jose Izquierdo – Pauni 13.5 milioni (Club Brugge, Agosti 2017).

Jurgen Locadia – Pauni 14 milioni (PSV, Januari 2018).

Alireza Jahanbakhsh – Pauni 17 milioni (AZ Alkmaar, Julai 2018).

BURNLEY

Steven Defour – Pauni 7.3 milioni (Anderlecht,

Agosti 2016).

Jeff Hendrick – Pauni 10.5 milioni (Derby,

Agosti 2016).

Robbie Brady – Pauni 13 milioni (Norwich, Januari 2017).

Chris Wood – Pauni 15 milioni (Leeds, Agosti 2017).

Ben Gibson – Pauni 15 milioni (Middlesbrough, Agosti 2018).

CHELSEA

Michael Essien – Pauni 24.4 milioni (Lyon, Agosti 2005).

Andriy Shevchenko – Pauni 30.8 milioni

(AC Milan, Mei 2006).

Fernando Torres – Pauni 50 milioni (Liverpool, Januari 2011).

Alvaro Morata – Pauni 58 milioni (Real Madrid,

Julai 2017).

Kepa Arrizabalaga – Pauni 71 milioni (Athletic Bilbao, Agosti 2018).

CRYSTAL PALACE

Dwight Gayle – Pauni 4.5 milioni (Peterborough,

July 2013).

James McArthur – Pauni 7 milioni (Wigan, Septemba 2014).

Yohan Cabaye – Pauni 10 milioni (PSG, Julai 2015)

Andros Townsend – Pauni 13 milioni (Newcastle, Julai 2016).

Christian Benteke – Pauni 27 milioni (Liverpool,

Agosti 2016).

EVERTON

Yakubu Aiyegbini – Pauni 11.3 milioni (Middlesbrough, Agosti 2007).

Marouane Fellaini – Pauni 15 milioni

(Standard Liege,

Septemba 2008).

Romelu Lukaku – Pauni 28 milioni (Chelsea,

Julai 2014).

Jordan Pickford – Pauni 30 milioni (Sunderland, Juni 2017).

Gylfi Sigurdsson –

Pauni 45 milioni (Swansea,

Agosti 2017).

LEICESTER

Leonardo Ulloa – Pauni 8 milioni (Brighton,

Julai 2014)

Shinji Okazaki – Pauni 9 milioni (Mainz, Juni 2015)

Nampalys Mendy – Pauni 13 milioni (Nice, Julai 2016)

Ahmed Musa – Pauni 16 milioni (CSKA Moscow, Julai 2016).

Islam Slimani –

Pauni 29.7 milioni

(Sporting,

Septembai 2016).

LIVERPOOL

Fernando Torres – Pauni 20.2

milioni (Atletico Madrid,

Julai 2007).

Luis Suarez – Pauni 22.7 milioni (Ajax, Januari 2011).

Andy Carroll – Pauni 35 milioni (Newcastle, Januari 2011).

Mo Salah – Pauni 36.9 milioni (Roma, Juni 2017).

Virgil van Dijk – Pauni 75 milioni (Southampton, Januari 2018).

MANCHESTER CITY

Sergio Aguero – Pauni 38 milioni (Atletico Madrid, Julai 2011).

Raheem Sterling – Pauni 44

milioni (Liverpool, Julai 2015).

Kevin de Bruyne – Pauni 54

milioni (Wolfsburg, Agosti 2015).

Aymeric Laporte – Pauni 57.2 milioni (Athletic Bilbao, Januari 2018).

Riyad Mahrez – Pauni 60 milioni (Leicester, Julai 2018).

Rodri – Pauni 62 milioni

(Atletico, Julai 2019).

MANCHESTER UNITED

Rio Ferdinand –Pauni 29.3 milioni (Leeds, Julai 2002).

Dimitar Berbatov – Pauni 30.8 milioni (Tottenham,

September 2008).

Juan Mata – Pauni 37.1 milioni (Chelsea, Januari 2014).

Aaron Wan-Bissaka – Pauni 45 milioni (Palace, Julai 2019).

Angel di Maria – Pauni 59.7 milioni (Real Madrid, Agosti 2014).

Paul Pogba – Pauni 89.3 milioni (Juventus, Agosti 2016).

NEWCASTLE

Les Ferdinand – Pauni 6 milioni (QPR, Julai 1995).

Faustino Asprilla – Pauni 6.7 milioni (Parma, Februari 1996).

Alan Shearer – Pauni 15 milioni (Blackburn, Julai 1996).

Michael Owen – Pauni 16 milioni (Real Madrid, Agosti 2005).

Miguel Almiron – Pauni 20 milioni (Atlanta United, Januari 2019).

NORWICH

Jon Newsome – Pauni 1 milioni (Leeds United, Julai 1994).

Dean Ashton – Pauni 3 milioni (Crewe, Januari 2005).

Robert Earnshaw – Pauni 3.5 milioni (West Brom, Januari 2006).

Ricky Van Wolfswinkel – Pauni 8.5 milioni (Sporting Lisbon, Julai 2013).

Steven Naismith – Pauni 8.5

milioni (Everton, Januari 2016).

SHEFFIELD UNITED

Ade Akinbiyi – Pauni 1.75 milioni (Burnley, Januari 2006).

Claude Davis – Pauni 3 milioni (Preston, Juni 2006).

James Beattie – Pauni 4 milioni (Everton, Agosti 2007).

John Egan – Pauni 4.1 milioni (Brentford, Julai 2018).

Luke Freeman – Pauni 5 milioni (QPR, Julai 2019).

SOUTHAMPTON

Dani Osvaldo – Pauni 14.6

milioni (Roma, Agosti 2013).

Sofiane Boufal –

Pauni 16 milioni (Lille,

Agosti 2016).

Mario Lemina –

Pauni 18.1 milioni (Juventus,

Agosti 2017).

Guido Carillo – Pauni 19 milioni (Monaco, Januari 2018).

Danny Ings – Pauni 20 milioni (Liverpool, Julai 2019).

TOTTENHAM

Roberto Soldado – Pauni 26 milioni (Valencia, Agosti 2013).

Erik Lamela – Pauni 29 milioni (Roma, Agosti 2013).

Moussa Sissoko – Pauni 30 milioni (Newcastle, Agosti 2016).

Davinson Sanchez – Pauni 42 milioni (Ajax, Agosti 2017).

Tanguy Ndombele – Pauni 53.7 milioni (Lyon, Julai 2019).

WATFORD

Etienne Capoue – Pauni 6.3 milioni (Tottenham, Julai 2015).

Abdoulaye Doucouré – Pauni 8 milioni (Rennes, Februari 2016).

Isaac Success – Pauni 12.5 milioni (Granada, Julai 2016).

Roberto Pereyra – Pauni 13 milioni (Juventus, Agosti 2016).

Andre Gray – Pauni 18.5 milioni (Burnley, Agosti 2017).

WEST HAM

Matt Jarvis – Pauni 10.75 milioni (Wolves, Agosti 2012).

Andy Carroll – Pauni 15 milioni (Liverpool, Juni 2013).

Andre Ayew – Pauni 20.7 milioni (Swansea, Agosti 2016).

Marko Arnautovic –

Pauni 25 milioni (Stoke, Agosti 2017). Felipe Anderson – Pauni 36 milioni (Lazio, Julai 2018).

WOLVES

Helder Costa – Pauni 13 milioni (Benfica, Januari 2017).

Ruben Neves – Pauni 15.8 milioni (Porto, Julai 2017).

Rui Patricio – Pauni 16 milioni (Sporting, Juni 2018).

Adama Traore – Pauni 18 milioni (Middlesbrough, Agosti 2018).

Raul Jimenez –

Pauni 30 milioni (Benfica, Juni 2019).

Advertisement